paroles de chanson Nisamehe - Zuchu
Kukuhini
kusokwisha
umeangukia
pemani
Roho
yanidadarika
kashanitoka
sheitwani
Nimeumbiwa
makosa
mwanadamu
na
mimi
Moyo
umekunja
ndita
nimekumiss
jamani
Ngumu
safari
ilifanya
njiani
ushukie
Ukakosa
siti
miliki
gari
lako
mwenyewe
Nikajiveka
mashati
nikajiona
me
ndo
mie
Kweli
mbaya
halisi
nawema
hakosi
ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Chozi
dibwi
dibwi
nachanganikiwa
navilio
sishikiki
Niko
magharibi
lizamapo
jua
wewe
upo
mashariki
Zawadi
vipochi
vijuice
vipipi
nazimiss
chocolate
Nimekoma
dear
nilivyo
nyongea
huba
zako
sizipati
Tabibu
kunikomesha
umepata
toto
la
kitanga
Sababu
umeichoka
jeuri
yangu
ya
kipemba
Lile
gubu
limeniisha
kabisa
baby
halimanga
(aibu)
Wananicheka
wajinga
rudi
nakuomba
Ngumu
safari
ilifanya
njiani
ushukie
Ukakosa
siti
miliki
gari
lako
mwenyewe
Nikajiveka
mashati
nikajiona
me
ndo
mie
Kweli
mbaya
halisi
na
wema
hakosi
ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nikikaa
nawaza
nimuingie
kwa
style
gani?
Nimlilie
niseme
nnamimba
kasahau
t-shirt
nyumbani
Nashindwa
kujizuia
uvumilivu
unanishinda
kwanini
Nikimpigia
kusudi
zake
akipokea
eti
hellow
wewe
nani
(iiih)
Na
namba
kakupa
nani
(iiih)
Mara
aahh
kumbe
wewe
unafanya
issue
gani
(siku
hiziii)
Nimsanii
anajua
inamana
hanioni
(kwenye
Tv)
Aah
ai
wewe
Aah
ai
wewe
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.