elsie - Karibu Nawe paroles de chanson

paroles de chanson Karibu Nawe - elsie



Karibu nawe Elsie
Unavyo nioshana wema
I wish ningejua mapema
Nilizingirwa na giza
Mbali nawe hakuna raha
Nikiwa nawe na starehe
Nani kama wewe
Sasa nimekupata
Siwezi niekuwacha
Milele nitakufuata
Karibu karibu nawe yesu
That's where i wonna be 4
Unavyo nilea
Kama ndama wako
Unavyonitunza kama mtoto wako
Nikupe nini nini e baba
Kama shukrani ya kuniokoa kutoka kwa shetani
Sasa nimekupata
Siwezi niekuwacha
Milele nitakufuata
Karibu karibu nawe yesu
That's where i wonna be 4
Sitaki niwe kama mwana mpotevu sitaki niwe kama petro aliyemkana yesu
Sitaki niwe niwe mbali nawe
Nataka niwe karibu nawe
Karibu karibu nawe yesu
That's where i wonna be 4
Karibu karibu nawe yesu



Writer(s): Elsie


elsie - Karibu Nawe
Album Karibu Nawe
date de sortie
11-01-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.