killy - Mwisho paroles de chanson

paroles de chanson Mwisho - killy



Ukweli mama unauficha tena unaniruka kando nisijitete
Ajali kila kukicha ex wako ananitoka mafumbo ili unipotee
Kweli mnatumiana picha tena nakuunganisha bando ili mnitete
Ndo mana havikauki visa au labda unirudishe jando nikajitete
Aah! Kumbe kimya kimya anachachua mana unavyomsifiaga kwa Ista.
Unaniona kima unajichetua eti nilikulazimishaga unapita
Umenizima umenibidua sidhani kama nimehakunjaga ndita
Nishakupima nimekugundua na hili nishalipigaga...
Hakura marefu yasiyo na Mwisho! Mwisho!
Lolooh aaah...
Yani Bora tufanye iwe Mwisho! Mwisho!
Tusiendelee Aaah...
Basi nimeshindwa mie Mwisho! Mwisho!
Yani ni bora iwe Mwisho
Mwisho! Misho! Mwiiiiiiih...
Maumivu.! Moyo wangu una maumivu uuh
Vidonda aaa aah!
Mwili umepatwa na uvivu penzi limegeuka majivu uuh!
Nahisi kukonda aaa aah yeye eeh!
Aaah.! Eti tufe tuzikwe wote yani hukudhamiria chochote
Nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbie eeh!
Nakuridhisha ma nakupa vyote kweli nahudumia cha wote
Basi we batili batili picha zisinirudie eeh!
Oooh baby!
Aah! Kumbe kimya kimya anachachua mana unavyomsifiaga kwa Ista.
Unaniona kima unajichetua eti nilikulazimishaga unapita
Umenizima umenibidua sidhani kama nimehakunjaga ndita
Nishakupima nimekugundua na hili nishalipigaga...
Hakura marefu yasiyo na Mwisho! Mwisho!
Lolooh aaah...
Yani Bora tufanye iwe Mwisho! Mwisho!
Tusiendelee Aaah...
Basi nimeshindwa mie Mwisho! Mwisho!
Yani ni bora iwe Mwisho
Mwisho! Misho! Mwiiiiiiih...




killy - Mwisho - Single
Album Mwisho - Single
date de sortie
09-07-2021

1 Mwisho



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.