Nesta [Mostincs] - Huku Mjini текст песни

Текст песни Huku Mjini - Nesta [Mostincs]




The most incredibles baby
Hello mummy
Habari daddy
Ni muda mrefu sijapiga nyumbani
Sina mengi na ng'ang'ana tu
Ni weze kuwapeleka Dubai
Mnakumbuka just the other day
I was your pretty little baby boy
Sikuizi umri inasonga tu
Na ninahofu ya kutotoboa
Hii maisha si ni ngumu
But sitishiki me nah
Nina maombi ya daddy
Na mapenzi ya mummy
Ju uuuh huku mjini
Warembo sumu
Uuh ukipata lishe
Unashukuru
Uuuh huku mjini
Warembo sumu
Uuh ukipata lishe
Unashukuru
Hello mummy
Habari Daddy
Ni muda mrefu sijapiga nyumbani
Sina mengi na ng'ang'ana tu
Niweze kuwapeleka Dubai
Mnakumbuka just the other day
I was your pretty little baby boy
Sikuizi umri inasongan tu
Na ninahofu ya kutotoboa
Hii maisha si ni ngumu



Авторы: Nesta [mostincs]


Nesta [Mostincs] - Afrobeast
Альбом Afrobeast
дата релиза
14-02-2023



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.