ALIKIBA - Sitaki Tena текст песни

Текст песни Sitaki Tena - ALIKIBA



Umeonaa Umeonaa
Yogo on da beat
Umenitesa roho
Ni kweli sio masihala
Kutwa nahuzunika lonely
Nikawa kama mafala
Nilijipa moyo
Mbona nitafuna
Penzi donda ndugu kwangu sugu
Kufutika neva
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Nasema sitaki tena tena,
Mi sitaki tena
Kurudi ya nyuma tena,
Ooh sitaki tena
Sasa umeona tena mi sitaki tena
Kurudi ya nyuma tena ooh sitaki tena
Ukawa unanishow
Mapenzi kutoka China
Tena una mengi majina et love designer
Wanakuita designer unavyojua kushona
Unavyoringa Kama nyuzi ya shanga, ukitikisha nyonga
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Nasema sitaki tena tena
Mi sitaki tena
Kurudi ya nyuma tena
Ooh sitaki tena
Sasa umeona tena mi sitaki tena
Kurudi ya nyuma tena ooh sitaki tena
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Sasa umeona urudi tena
Unaomba msamaha kurudiana
Nasema sitaki tena tena,
Me sitaki tena
Kurudi ya nyuma tena
Ooh sitaki tena
Sasa umeona tena,
Ooh sitaki tena tena kurudi ya nyuma
Oooh sitakiii tena




ALIKIBA - ONLY ONE KING
Альбом ONLY ONE KING
дата релиза
07-10-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.