ALIKIBA - Ubuyu текст песни

Текст песни Ubuyu - ALIKIBA




Yeah!
Aah-aah, aah-aah
Mh-mh
Ubuyu umenikaba, napaliwa
Ah, aya ma, ah
Yule mama, mwenye nyumba mama
Yule mama, wa ma-mama
(O.Righty)
Yule mama anapenda sana vitoto
Yule mama anawaharibu watoto
Yule mama anapenda sana vitoto
Yule mama wa ma-mama
Anafumwa kila siku hadharani
Anabanana nao vichochoroni
Ana nyumba ila kwake hakai
Kila siku anao vichochoroni
Wanampeleka mpaka chooni, eh
Wanamepeleka mpaka sokoni, eh
Wanampeleka mpaka chooni, eh
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Aah-aah, na yule mama Ibraah, ah-ah
Wa pale chini mpakani, eh
Ndani wana watoto wawili
Si wa jamaa, ni wa jirani, eh
Wanaongozana mpaka chooni, eh
Anampeleka mpaka sokoni, eh
Na si kama si hatuoni, eh
Wanapokezana maskani
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Tumeto-tongazana jana tu
Eti leo birthday yake
Simu za usiku
Kununuliana LUKU
Na hatumi mita namba yake
Si aseme kama yuko sokoni, eh
Maana vimacho, macho, macho mfukoni
Si aseme yuko sokoni, eh
Tumpelekee moto shimoni
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Ubuyu umenikaba, ah-ah
Leo naumwaga hadharani, eh
Watu wana tabia mbaya
Wanamzidi hata shetani, eh
Watu wana tabia mbaya
Wanamzidi hata shetani, eh
Mh, wote motoni, eh
Sijamuona wa peponi, eh
Aah, wote motoni, eh
Sijamuona wa peponi, eh
Yup!
(Si aseme yuko sokoni, eh)
The Mix Killer





Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.