Ay - Leo (Remix) текст песни

Текст песни Leo (Remix) - Ay



Heey, Heey,
Heey!
B-Hitz! Remix!
Kutoka kwa A.Y!
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x 2
You know, sijamuona kama ye before (before, before)
Mapigo (ya moyo), yananienda mbio
(Nikimtia machoni, nikimtia machoni)
Nataka nimtokee, ili niwe naye
Nje, ndani, full shangwe
Nataka nimtokee, ili niwe naye milele
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x 2
Excuse me baby boy (baby boy),
Yasikie yanayotoka moyoni mwangu,
Inabidi ungoje boy,
Nishaumizwa nishaumizwa sana,
Sina imani sina imani tena,
Nishalizwa nishalizwa sana,
No, no, ah ah ah ah ah ahhh,
I like the way you are ila sidhani utanifa,
Kunipa raha, ku ku kunipa raha rahaha,
My heart is settled for once let me beeeeeeee,
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO
Kwangu penzi ni full (full, full, full uuuuh, uuuuh)
I like the way you talk you smile
Tupendane kama butterflies
She's like a star (oh my) amenijazz (oh my),
Navishiniwe tuko pembeni tukiride,
Maridadi (yule), ntapata vipi (yule), vile?
Nataka niwe naye, nataka niwe naye eeeiee,
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x 2
Heeey x 2, Leo x 2
Leo x 4
Yeah eh eh ehi eh eh yeah eh ehi
Leo
END...




Ay - Leo (Remix)
Альбом Leo (Remix)
дата релиза
17-07-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.