Текст песни Hainogi - ALIKIBA , AbduKiba
I
Lyrics
Kama
huna
senti,
basi
utapagawa
Wenzako
wanahonga
we
unalala
njaa
Watu
wanacheka
na
kuna
raha
Shida
zako
weka
kando
hakuna
ujamaa
Na
tukiwa
na
vibe
hatunaga
aibu
Waliokuja
na
abaya
wamevua
hijabu
Naona
maajabu
kukosa
tungi
Club
Madenti
wanadate
mpaka
na
vibabu
Ona
Simba
bila
Yanga
(Hainogi)
Mchawi
bila
mganga
(Hainogi)
Mchepuko
bila
danga
(Hainogi)
Mjanja
bila
mshamba
(Hainogi)
Ona
Simba
bila
Yanga
(Hainogi)
Mchawi
bila
mganga
(Hainogi)
Mchepuko
bila
danga
(Hainogi)
Mjanja
bila
mshamba
(Hainogi)
Lapa
lapa
anaringa
huyo
Tafuta
mwingine
fasta
Wengi
wako
single
single
single
Oya
shusha
iweke
(Shusha
iweke)
Naula
ubweche
(Naula
ubweche)
Choma
upepe
(Choma
upepe)
Au
tungi
ulete
Na
tukiwa
na
vibe
hatunaga
aibu
Waliokuja
na
abaya
wamevua
hijabu
Naona
maajabu
kukosa
tungi
Club
Madenti
wanadate
mpaka
na
vibabu
Hainogi,
hainogi
Hainogi,
hainogi
Ona
Simba
bila
Yanga
(Hainogi)
Mchawi
bila
mganga
(Hainogi)
Mchepuko
bila
danga
(Hainogi)
Mjanja
bila
mshamba
(Hainogi)
Ulanji
na
supu
(Hainogi)
Upate
udoro
na
kuku
(Hainogi)
Chai
na
bungo
(Hainogi)
Kwa
mchawi
usiende
na
ungo
(Hainogi)
Ona
Simba
bila
Yanga
(Hainogi)
Mchawi
bila
mganga
(Hainogi)
Mchepuko
bila
danga
(Hainogi)
Mjanja
bila
mshamba
(Hainogi)
Hainogi,
hainogi
Hainogi,
hainogi
Hainogi,
hainogi
Hainogi,
hainogi
Hainogi,
hainogi
Hainogi,
hainogi
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.