Текст песни
Kama
mchwa
ntakazana
sana
kadri
ya
uwezo
nikuteke
Maana
nakutaka
sanaa
Nakupenda
na
roho
yangu
mama
zaidi
ntajikaza
twende
hepi
Mchana
kutwa
Kuja
nami,
kaa
hunitaki
sema
no
no
no
no,
nitaelewa
Sema
nami,
Ka
unanifeel
nitakupa
mojo
jojo
I
Love
You,
You
only
you
(Only
you)
And
they
want
me,
but
its
you
only
you
Napenda
Zaidi
Yao
Nakupenda
sana
nakuyanza
Na
piano
ntakuchezea
kwa
raha
zako
Ntakufunza
kunipenda
Hujui
ni
we
napenda
Zaidi
Yao
Nakupenda
sana
nakuyanza
Na
piano
ntakuchezea
kwa
raha
zako
Ntakufunza
kunipenda
Hujui
ni
we
napenda
Zaidi
Yao
Nakumbuka
kamili
mami
i
say,
saa
mbili
ngware
Thursday
Ndio
kuget
things
in
Order
niache
biz
irun
all
day,
kusaka
dollar
Pale
kwa
movie,
shortly
ni
light
skin.
Figure
ni
ya
Slay
Queen
Smile
imetosha
kusema
Hello,
ofcourse
juu
sura
inaportray
So
nadai
nijue
jina
kwanza
before
kuuza
movie
na
nilete
juice
Ndo
nijue
atashika
kaa
nne,
gladly
niongeze
ya
tano
ya
bure
A...
najua
mi
nampendanga
sana
mi,
humtuliza
kabisa
Speed
dial
Loci
bestie
aniambie
vile
mi
hukuwa
bure
kabisa
Ah...
dakika
tano
ushaanza
kucheka,
ukicheka
nacheka
And
the
Happiness
feels
alot
like
a
blessing
Pupils
getting
wider
looking
at
you,
you
and
your
beauty
I
say
would
you
come
again
baby,
smiled
and
said
yes
Leo
nalala
nikijifeel
hata
nafunga
base
Flawless,
flawless,
flawless
nakufuata
mpaka
base
Aint
no
brakes
I
do
basket
balling
baby
you
gon'
be
my
NBA,
Ulalah
Viherehere
watabonga
sana
Mi
sijali
sahii
ni
wewe
tu
nafikiria
I
feel
you're
my
heaven
and
my
hell
yo
Coz
i'll
do
anything
for
you
my
Love
yeah
yeah
Kama
mchwa
ntakazana
sana
kadri
ya
uwezo
nikuteke
Maana
nakutaka
sanaa
Nakupenda
na
roho
yangu
mama
zaidi
ntajikaza
twende
hepi
Tujivinjari
Usiku
kucha
Kuja
nami,
kaa
hunitaki
sema
no
no
no
no,
nitaelewa
Sema
nami,
Ka
unanifeel
nitakupa
mojo
jojo
I
Love
You,
You
only
you
(Only
you)
And
they
want
me,
but
its
you
only
you
Napenda
Zaidi
Yao
1 Zaidi yao
2 Fanya
3 Sijafika
4 Mtaa (feat. Scar Mkadinali & B.A.D.Y)
5 Far Away (feat. Kapnea)
6 For You (feat. Kerubo)
7 Love Somebody (You Aint Gotta)
8 Love or Nothing (feat. Anto Neosoul)
9 Najishuku (feat. Sewer Sydaa Mkadinali & Laura Stacy)
10 Moving on (feat. Emi Ara)
11 Anything (feat. Toili Mshairi)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.