Aslay - Moyo Kiburi - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Aslay - Moyo Kiburi




Moyo Kiburi
Moyo Kiburi
Niacheni niseme nitambe
Darling, let me speak my mind
Mwenyewe na moyo wangu
My heart and I alone
Ooh oooh lala lala ...
Ooh oooh lala lala ...
Ooh oooh lala lala ...
Ooh oooh lala lala ...
Moyo wangu unataka
My heart desires
Unataka unavyotaka
It wants what it wants
Unataka unavyotaka
It wants what it wants
Ila chunga usije leta maafa
But be careful not to bring disaster
Moyo wangu jeuri
My heart is cruel
Moyo wangu kiburi
My heart is proud
Unataka unavyotaka
It wants what it wants
Ila chunga usije leta maafa
But be careful not to bring disaster
Unachagua pa kutua
You choose where to land
Pa kuchutama pa kukaa
Where to crouch, where to sit
Pa kusimama pa kutembea
Where to stand, where to walk
Pa kukimbia moyo
Where to run, my heart
Moyo wangu kichefuchefu
My heart is disgusted
Moyo umegoma vitu vichafu
My heart has rejected impurity
Moyo unataka vitu nadhifu
My heart desires pure things
Vya kuridhisha mwili
Things that satisfy the body
Moyo hauna shombo
My heart is merciless
Moyo bingwa wa nyodo
My heart is a champion of arrogance
Moyo hutaki shobo
My heart despises showiness
Shobo shobo shoboo
Showiness, showiness, showiness
Moyo wangu jeuri
My heart is cruel
Moyo wangu kiburi
My heart is proud
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah, cruel my heart, proud
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah, cruel my heart, proud
Ukileta dharau
If you bring contempt
Moyo unakusahau(Moyo)
My heart will forget you(Heart)
Ukijiona mzuri
If you see yourself as beautiful
Moyo unaleta jeuri(Moyo)
My heart will bring cruelty(Heart)
Moyo nakupa cheo
My heart, I give you a title
We ndo mmliki wa hisia zangu
You are the owner of my emotions
Yaani kama mti
Like a tree
We ni shina langu (Shina langu ooh)
You are my trunk(My trunk ooh)
Wapo walotaka kushindana
There were those who wanted to compete
Na moyo wangu wakafeli
But my heart failed them
Tena walisubiri kupigana
And so they waited to fight
Na moyo wangu wako chali
And my heart left them in the dust
Moyo wangu jeuri
My heart is cruel
Moyo wangu kiburi
My heart is proud
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah, cruel my heart, proud
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah, cruel my heart, proud





Авторы: Aslay Isihaka Nassoro

Aslay - Moyo Kiburi
Альбом
Moyo Kiburi
дата релиза
21-11-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.