Текст песни Jela - Aslay
Naona
kiza
eeh
Eeh
Yeah
Oh
my
my
my
Jela
(Isiwe
sababu
ya
kuvunja
penzi
letu)
Jela
ah
ah
Jela
aaah
(Isiwe
sababu
ya
kuvunja
penzi
letu)
Jela
aah
ooh
Tangu
nifungwe
sikuoni
Mara
ya
mwisho
nilikuona
mahakamani
Ulikuja
kuniona
nadhani
Tangu
niwe
Jela
sijakuona
tena
ooh
ooh
Vipi
kulikoni
Kwani
me
na
we
tuna
tatizo
gani
Unakula
Bata
uraiani
Njoo
unione
nimezungukwa
na
vyuma
(Njoo
unione
le
le
le
eee)
Nilifanya
kazi
ngumu
kwa
shida
Yote
kwa
sababu
nilitaka
kushiba
Mara
ya
mwisho
kukamatwa
niliiba
Yani
chupu
chupu
kifo
cha
kupigwa
Umeongeza
hukumu
juu
ya
hukumu
Why
unanikataa
Unashindwa
kutuma
hata
salamu
Mwenzako
nateseka
Oyo
oyooooo
(Jela)
Christmas
ya
sita
hii
nipo
Jela
(Imevunja
penzi
letu)
Hata
siku
moja
kutia
mguu
(Jela)
Mbona
una
roho
ngumu
wewe
(Imevunja
penzi
letu)
Nasikia
una
kabwana
kadogo
dogo
Pesa
unazitumia
kwa
fujo
fujo
Umetupa
jongoo
(na
mti
wake
eeeh)
Nyumba
ya
buza
umeuza
Nauliza
naambiwa
fedha
umemaliza
kwa
kulewea
Nakesha
na
giza
Nauliza
naambiwa
eti
bado
sana
me
kutoka
Jela
(Jela)
Jela
mbaya
yeye
Jela
pagumu
mpenzi
(njoo
unione
yeye)
Nilifanya
kazi
ngumu
kwa
shida
Yote
kwa
sababu
nilitaka
kushiba
Mara
ya
mwisho
kukamatwa
niliiba
Yani
chupu
chupu
kifo
cha
kupigwa
Umeongeza
hukumu
juu
ya
hukumu
Why
unanikataa
Unashindwa
kutuma
hata
salamu
Mwenzako
nateseka
Oyo
oyooooo
(Jela)
Je
Jela
(imevunja
penzi
letu)
Jela
mbaya
mbaya
Jela
pabaya
(Jela)
Laaaa
la
la
la
la
la
laaaa
(Imevunja
penzi
letu)
1 Kipenda Roho
2 Nusu Nusu
3 Moyo Kiburi
4 Mateka
5 Nipe
6 Rudi Darasani
7 Nabembeleza
8 Jela
9 Bado Mapema
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.