Aslay - Nusu Nusu - перевод текста песни на немецкий

Nusu Nusu - Aslayперевод на немецкий




Nusu Nusu
Halb halb
Mtoto nusu nusu
Baby halb halb
Aah
Aah
Aah
Aah
Nusu nusu
Halb halb
Nusu malaika nusu mtu
Halb Engel, halb Mensch
Aah
Aah
Aah
Aah
Mmh
Mmh
Ana mochezo ya ndombolo
Sie hat Ndombolo-Bewegungen
Fujo kwenye ngondoro
Unruhe im Bett
Nyama laini,Kama ngongoro
Zartes Fleisch, wie Ngongoro
Ananipitisha kila Totoro
Sie führt mich an jeder Ecke vorbei
Ndeka habari zenu nlivyo na wivu
Lasst eure Gerüchte, wie eifersüchtig ich bin
Mi kushare sitaki
Ich will nicht teilen
Na wapa makavu vidume vya mbavu
Ich sage es den starken Kerlen direkt
Msije nishitaki
Damit ihr mich nicht anklagt
Tunapendeza kinoma, tunapendana
Wir sehen Mörder aus, wir lieben uns
Hatujashare wazazi lakini tunafanana
Wir teilen keine Eltern, aber wir ähneln uns
Si mnene si mwebamba
Nicht dick, nicht dünn
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Sio wa. Pemba sio wa tanga
Nicht aus Pemba, nicht aus Tanga
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Chochote anaulamba
Sie genießt alles
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Sio kwa Dela sio kwa kanga
Nicht im Dela, nicht im Kanga
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Eei wa kwenye bima okota
Eei, du vom Feinsten, heb es auf
Nifanya mzingo kokote
Mach überall eine Runde für mich
Miuno ya kiCongo tomoka
Kongolesische Hüften, zeig dich
Jifunge usongo sokota
Binde das Stirnband, dreh dich
Akiinama mi nasimama,Napata jawabu
Wenn sie sich bückt, stehe ich auf, ich bekomme die Antwort
Wasiokupenda wakiandamana, watapata taabu
Wenn die, die dich nicht mögen, protestieren, kriegen sie Probleme
Sana
Sehr
Ndeka habari zenu nlivyo na wivu
Lasst eure Gerüchte, wie eifersüchtig ich bin
Mi kushare sitaki
Ich will nicht teilen
Na wapa makavu vidume vya mbavu
Ich sage es den starken Kerlen direkt
Msije nishitaki
Damit ihr mich nicht anklagt
Tunapendeza kinoma, tunapendana
Wir sehen Mörder aus, wir lieben uns
Hatujashare wazazi lakini tunafanana
Wir teilen keine Eltern, aber wir ähneln uns
Si mnene si mwebamba
Nicht dick, nicht dünn
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Sio wa. Pemba sio wa tanga
Nicht aus Pemba, nicht aus Tanga
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Sio kwa Dela sio kwa kanga
Nicht im Dela, nicht im Kanga
Aah Aah nusu nusu
Aah Aah halb halb
Namng′ang'ania namng′ang'ania aah
Ich halte sie fest, ich halte sie fest, aah
Mi kwake nimezidiwa
Bei ihr bin ich unterlegen
Namshikilia namshikilia aah
Ich halte sie fest, ich halte sie fest, aah
Asije akakimbia
Damit sie nicht wegläuft
Waanaona ndonge(ndonge ndonge)
Sie sehen Ndonge (Ndonge Ndonge)
Waanaona ndonge mama(ndonge eeh)
Sie sehen Ndonge Mama (Ndonge eeh)
Waanaona ndonge(ndonge ndonge)
Sie sehen Ndonge (Ndonge Ndonge)
Waanaona ndonge mama(ndonge eeh)
Sie sehen Ndonge Mama (Ndonge eeh)





Авторы: Aslay Isihaka Nassoro

Aslay - Kipenda Roho
Альбом
Kipenda Roho
дата релиза
19-01-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.