Aslay feat. Osama - Tete Feat Osama текст песни

Текст песни Tete Feat Osama - Osama , Aslay



Me siwezi kula mpaka ale yeye
Tena nimlishe kwa kijiko
Nyimbo nimuimbiie
Kama kuna joto nimpepe, nimpepe
Kisha, nibembeleze, nimliwaze
Na kama kuna kosa beibee anieleze
Nibembeleze, nimliwaze
Na kama kuna kosa beibe anieleze
Napigwa na jua mchana kutafuta pesa aje kula
Usiku tena twagombana hivi kwanini aninyanyapa? Yo yo
Baba, baba kuandika talaka siwezi
Bora tu baba nibembeleze mapenzi
Sio poa, anavyonifanyiaa, ila kinyoonge sana yeeh
Navumiliaa Kama mtoto (te te te)
Mtoto anavyotembeaa ye ye ye yeh (teete)
Atabaadiliika ye ye ye yeeh
(Te te te) mimi navumilia ye ye ye
Yooote yana mwisho wake ye ye ye yeeh
Hili ni penzi la kijeshi, kuruta nipige saluti
Kwake, hata niwe msafi vipi, makosa sikosi
Kila nikipeti peti, sijui labda nina nuksi
Yani, mwenzangu yeye hataki, naambulia matusi
Ila sijali, napandisha morali
Ndo kwanza naleta chipsi na kuku na yaii
Ila sijali, napandisha morali
Ndo kwanza naleta chipsi na kuku na yai (alee)
Ah, ah ah mchuchu ninaye ila sipati kitu uuh
Huku ndo kupatwa kwa penzi butu uh,
Nilikula kofi nilipompapasa usiku
Nilipotaka kufosi nilichezea teke la huku, kwa babu
Eiye eh, kwa babu
Sio poa, anavyonifanyia ila kinyonge sana yeeh
Navumiliaa Kama Mtoto (te te te)
Mtoto anavyotembea ye ye ye yeeh (teeete)
Atabadilikaa ye ye ye yeeh
(Te te te) mimi navumilia ye ye ye
Yote yana mwisho wake ye ye ye yeeh
Badiliika dada badilika, nakusubiri bado Mumeo,
Mumeo eeeh anakusubiri bado
Niombee shemeji yangu nampenda dada yako
Na namsubiri bado
Mwenzie, mwenziie eh, me nampenda bado
Zisti anajua ninavyouumiia, huwa anajua na vitu vyote nasubiria
Zungu Baunsa anashuhudiia, nikaa peke yangu me nalia liaa eeh. ...




Aslay feat. Osama - Tete Feat Osama
Альбом Tete Feat Osama
дата релиза
15-10-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.