Aslay - Kaitesi текст песни

Текст песни Kaitesi - Aslay



Eehh, eehh
Jicho limeona kwako mama
Mwingine hakuna, oh
Naahidi nitabadili, nisamehe sana
Kweli nilikunyanyasa sana
Rudisha moyo nyuma, Kaitesi
Naahidi nitabadili, nisamehe mama
Mi binadamu nakosea, aahhaa
Na nikikosea kuambiwa lazima
Tafadhali ebu rudi nyumbani, mama
Kaitesi ii, usije ukaputsi uwaje usi
Kaitesi ii, penzi usiitie ukasi
Kaitesi, nahisi kabisa nitakuwa chizi
Kaitesi, lolololilo lolololooo
Ebu fikiria maamuzi yako, yananilizaa
Ooohh, iiihh
Yananiumiza
Tesi, mama watoto, unanilizaa
Ooohh, iiihh.
Unaniumiza
Miaka kadhaa ya msoto
Mungu akatupa toto, toto zuri
Mona, mmm, mrithi wa mama yangu
Naomba unisamehe
Nisamehe
Tuyamalize
Nitaita wazee, wazee. Tuyasuluhishe
Mi binadamu nakosea, aahhaa
Na nikikosea kuambiwa lazima
Tafadhali ebu rudi nyumbani, mama
Kaitesi ii, usije ukaputsi uwaje usi
Kaitesi ii, penzi usiitie ukasi
Kaitesi, nahisi kabisa nitakuwa chizi
Kaitesi, lolololilo lolololooo
Ebu fikiria maamuzi yako, yananilizaa
Ooohh, iiihh
Yananiumiza
Tesi, mama watoto, unanilizaa
Ooohh, iiihh
Unaniumiza
Ebu fikiria maamuzi yako, yananilizaa
Ooohh, iiihh
Yananiumiza
Kaitesi, mama watoto, unanilizaa
Ooohh, iiihhh
Unaniumiza



Авторы: Joel, Joseph


Aslay - Kaitesi
Альбом Kaitesi
дата релиза
01-05-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.