Aslay - Pusha текст песни

Текст песни Pusha - Aslay



Pusha washa
Mi nina stress zimejaa kwenye kichwa
Sogeza kiti kaa
Nikueleze machache yaliyonikuta
Kuna kijanaa ana nisumbua sanaaaa
Mke wangu raha hana
Nyumbani amani hakuna
Hi hiiii
Asidhani mimi ni mkimya sana
Mwenzie naumia roho yangu
Nisije baadae mi kupata lawama
Nikaharibu CV yangu
Mwambieni ama zake ama zangu
Mi ntakufa naye
Nasema mwambie
Ama zake ama zangu
Mi nitakufa naye
Mkimuona mwambieni
Ama zake ama zangu
Nitakufa naye
Eeeh mwambieni
Ama zake ama zangu
Nitakufa naye
Anapitaga kibarazani
Nguo kashusha makalioni
Anajifanya yeye muhuni
Wenzie tulianza tisini
Tutabadilishana majengo ya serikali
Aaahh ahhh
Mi niende jela, yeye aende mochwali
Ahhhh ahhah
Hi hiii
Asidhani mimi ni mkimya sana
Mwenzie naumia roho yangu
Nisije baadae mi kupata lawama
Nikaharibu CV yangu
Mwambieni
Ama zake ama zangu
Mimi nitakufa naye
Nasema mwambieni
Ama zake ama zangu
Mimi nitakufa naye
Mkimwona mwambieni
Ama zake ama zangu
Mimi nitakufa naye
Ehh mwambieni
Ama zake ama zangu
Mimi nitakufa naye
Aiyo, aiyo, aiyoyo
Huwaga sipendagi dharau
Aiyo, aiyo, aiyoyo
Mwambie anajisahau
Aiyo, aiyo, aiyoyo
Tutachukiana mamaa
Aiyo, aiyo, aiyoyo
Tutapeana lawana sana ooho



Авторы: Aslay


Aslay - Pusha
Альбом Pusha
дата релиза
12-09-2017

1 Pusha




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.