Asum Garvey - Zinedine текст песни

Текст песни Zinedine - Asum Garvey



Niko na mad bad delivery
Cheza na chains ka slavery
Piga heady ka zinedine
Na nirudi kucoach nikubuy team
Niko na mad bad delivery
Cheza na chains ka slavery
Piga heady ka zinedine
Na nirudi kucoach nikubuy team
Niko na mad mad atillery, mi tu pekee ni ka industry
Chenga kidogo ni pass my theme nirauke tomorrow ni train my team
Wanajua vile mi udai, nina formation hazina guys
Happily tell you hauna might, over the mic weh hauna sight
Uko na nini, niko na life nina projection hazina sight
Usinicall na hauna line, angusha mind kidogo tu ghai
Double formation pass it tu high, alisahau vile yeh ni pint
Hizo ma game nilisha'zisight, na nikachoka sai sina time
Tuko kwa euro, ball doh na sights, hizo ndio dream zangu kwa rice
Na nikicheki niko highrise, kuna estate na pia highrise
Unanifollow unanisight, follow my memo kama ni light
Hapo ni giza hakuna light, unanipima kama highlights
Tunaresume hii fight, cheki song unablock my sight
Kama sio bite, ni swallow, ulidishiwa na bike
Kama ni mike mi uspike, ni kama naloose my life
Ona na drill sasa life ni kama ni sleepy hollow
Niko na mad bad delivery
Cheza na chains ka slavery
Piga heady ka zinedine
Na nirudi kucoach nikubuy team
Niko na mad bad delivery
Cheza na chains ka slavery
Piga heady ka zinedine
Na nirudi kucoach nikubuy team



Авторы: Louis Maina, Malcolm Mutiso


Asum Garvey - Shrapper Sum (Deluxe)
Альбом Shrapper Sum (Deluxe)
дата релиза
24-07-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.