Avril - In Love текст песни

Текст песни In Love - Avril



When I see you smile
When I hear you laugh
These are the simple things
These are the simple things
These are the simple things
My baby, baby, baby, baby
What you tells me feel so good
We ndio yangu moon
Kama tu ile Nazi umeninoga
Nishakua dhaifu
Kwa penzi ugonjwa
We ndio nafuu
Mi ndio wako bavuu
Hisia kimahaba umezikonga
Na ni bora niweke wazi
Tena uwaambie
Ata ukinikwaza
Sitokuchoka
Moyo wangu ushikilie
Wasije kukupora ukadondosha
Venye wanipa ndani eeh
Walonitesa nyuma
Washanitoka
Wanifanya nikufikirie
Michipuko ya nini unanitosha
Wako upendo
Hawakujali walichezea wangu
Moyo, kuna watu na viatu
Sikujua ila nilo hiyo
Kwa shimoni umen'toa
Na stress imepoa
We ndo wakunioa
Michipuko ya nini unanitosha




Avril - In Love
Альбом In Love
дата релиза
17-09-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.