Текст песни Binadamu - Ay
This
is
A.Y
from
Tanzania,
Maurice
Kirya
and
Hamdee
from
Uganda.
It's
a
dedication
to
all
African
who
living
in
poverty.
Usiombee
mambo
yaharibike.
Pesa
usiishike,
mfano
wa
mti
upukutike.
Utaonekana
si
lolote
si
chochote.
Utaonekana
karaha
kwa
watu
siku
zote.
Walimwengu
hawatakupa
mikono.
Magonjwa
yatakuvuta
ndani
ya
shimo.
Utakata
tamaa,
utaandama
na
balaa.
Pumzi
hutovuta
kwa
raha,
kweli
usiombee
kuwahi.
Survive
for
fittest;
never
trust
nobody
in
this
world
of
weakness
Watakukana
hata
kama
ndugu
zako.
Watadiriki
sema
hawajui
hutokako
Mama
acha
kulia,
Hayo
uliyonayo
ni
majaribu
tu
ya
Dunia.
Ipo
siku
mambo
yako
yatatulia.
Utasahau
hata
Mabaya
ya
zamani
uliyopitia
ooh
hii
dunia'
Bagalalinaa,
Gendo
kole,
You
should
think
about
tomorrow
Not
only
today
Bagalalinaa,
Gendokolee
Uuh,
Gendokoleee
Yeeeh
Wapo
wapi
marafiki
uliokuwa
nao
Enzi
zile
pesa
imekutembelea
Wako
wapi
sasa?
Hawapo
wamekukimbia
Sasa
huko
waliko
tayari
wanakukandia.
Ada
ya
watoto
hujalipia,
kodi
ya
chumba
nayo
unadaiwa,
Unazidi
changanyikiwa.
Hata
unajuta
oh
kwanini
ulizaliwa.
Piga
moyo
konde,
Maisha
uyashinde.
Bado
safari
ndefu
yenye
miba
na
mabonde
Usiweke
kinyongo
hata
kama
walikutupa
Remain
strong
in
this
world.
Don't
be
jealous,
Dats
all'
Bagalalinaa,
Gendo
kole,
You
should
think
about
tomorrow
Not
only
today
Bagalalinaa,
Gendokolee
Uuh,
Gendokoleee
Yeeeh
Binadamu
sio
watu.
Ukiwa
na
shida
hutowaona.
Ona
sasa
wamekimbia.
Ona
sasa
wamekimbia.
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.