B-Lo - Shatta текст песни

Текст песни Shatta - B-Lo



Yeah ah wotee
(Woyooi)
(Steezy we got this)
KinOndonYard... Ah you ready
Watoto wazuri pale kati. kati.
(Anhaa!) Wote
(Check this!)
TopShotta Mi
When I do di rhymes styles Dem seh
Di world has never seen.(nevah seen)
Na wewe ni
Kisura mwenye hadhi, kazi, wadhifa mkali inna magazine(Magazine)
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuji-blaze tuji-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Fanya kama wanainama kwa confidence
Ona wanatizama inna di dance
Wanaojiita wanyama hawatu-face
Jangiri nishawachana ka razor blade
Well man ah gwan lyah cut like scissors
Kinondoni Judgement Yard, big up Sizzla(Karonji)
Nazidi kufanya miujiza(wollan)
Pretty gyals lock me like prison (mmh)
We jammin weh jam inna new season
We make kwenye mwanga hata giza(woyooi)
Mambo yetu maadui yanawaliza
Shoot Dem!(Pah Pah Pah)
Penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Tazama penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Ah! Umekuja ghetto, you love me
Sitapitia njia rafu, mi lami
Na mapenzi ni uchafu, we msafi
Hata kicheza rafu, hulalami
Baby njoo unipe some company
Magoli mengi hauna beki kama Kompany
Naeza cheza judo kama Wajapani
Wakose amani hadi jirani jamani
Chukua chips kuku ndizi
Twaweza kaa hapa chini tukachill
Malkia wa nguvu naweza lipa bills
Nafunga gates kabla hujaibwa na Bill yah!
Nakumwagia money, usimuangalie jirani
Nipo nawe najiami, mi na we ni army
Tupo serious si utani utani
Shoot ′em!
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuji-blaze tuji-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Kama vipi njoo tuji-blaze tuji-blaze
Kama vipi njoo tuka-blaze tuka-blaze
Penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Tazama penzi letu ni shatta shatta
Shatta shatta shatta shatta
Ah!...




B-Lo - Shatta
Альбом Shatta
дата релиза
28-09-2018

1 Shatta



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.