B2LWORLD - Cashout текст песни

Текст песни Cashout - B2LWORLD



Am Feeling like a thousand bucks
How are u feeling gang
Yeah
You better know
Money money money money
Cash in cash out nikitoka kwenye bank
Gang gang nawaspoil nawatoleanga form
Tukichill in my zone 237 ndio home
Money money money money
Cash in cash out nikitoka kwenye bank
Gang gang nawaspoil nawatoleanga form
Tukichill in my zone 237 ndio home
Warembo n kibao nawaspoil na mathao
Form zangu huwa tao hao huniita baba yao yao yao
Hao huniita baba yao yao yao
Hao huniita baba yao
Baba yao unaeza niita tinga nimetoka kukatinga
Kwa bankiko nimewakilisha fom ya kesho nisha lipa
Don't worry ukizima pia kesho utalipisha
237 inna Thika tumefika yea
See me at the club and my gal is better
Ju ya cheda gat them bees chasing nectar
Paper man am the magnet pull yo to dah center
Right left center flip the cash where u at
Gat the bag make a bitch confess
Shorie got the groove akinicheki kwenye dancefloor
And I got the moves moonwalking Michael Jackson
Top it with sum doh nawakunywa mi na strooh tu
Welkam to my hood juwa leo unapass out
Reping westside if u wondering where I came from
And I got my dawg from the south and east too
Chasing after paper cash out that we gon do
Spoil you ka expiry date ju nina mula mula
Money money money money
Cash in cash out nikitoka kwenye bank
Gang gang nawaspoil nawatoleanga form
Tukichill in my zone 237 ndio home
Warembo n kibao nawaspoil na mathao
Form zangu huwa tao hao huniita baba yao yao yao
Hao huniita baba yao yao yao
Hao huniita baba yao
Doe santos starboy
Nimekam serious joh hakuna toy
Na mistari codry zaki banzu walai si za kitoi okay
Nakata madada zao wo hunita fuckboy
Look safi mtaani starboy
Kuchafua tangu zamani badboy
Sinanga stress nikichill a madem
Mtaani tukisip champagne
Na mahaters wakifeel some pain
Team fika bei hapana bargain
Famous ka movie star vandamme
Loaded kama Ak mi natoa fom natoa doh
Mkwela made it clap akinicheki nikicash out
And she made it sure that I got her attention
Make u whine and go down ju najuwa deh na keedo
If they grew like grass nimetoka kuzi kata
And if they came from trees nimetoka kuzichuna
Nasiwezi kosa mula na ju najuwa nita dunda
Nasiwezi kosa rubber ju najuwa nitazifunga yoh
Money money money money
Cash in cash out nikitoka kwenye bank
Gang gang nawaspoil nawatoleanga form
Tukichill in my zone 237 ndio home
Money money money money
Cash in cash out nikitoka kwenye bank
Gang gang nawaspoil nawatoleanga form
Tukichill in my zone 237 ndio home
Warembo n kibao nawaspoil na mathao
Form zangu huwa tao hao huniita baba yao yao yao
Hao huniita baba yao yao yao
Hao huniita baba yao



Авторы: Eric Muiruri Wairimu, Kelvin Mwaura Karuru, Kelvin Omollo Odhiambo


B2LWORLD - Cashout
Альбом Cashout
дата релиза
03-03-2023




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.