Bahati - Bambika (feat. Ethic) текст песни

Текст песни Bambika (feat. Ethic) - Bahati



Motif Di Don)
Cheki ati eh
Rada safi yaani basi bambi bambika
Na ju sijali, ni wazi, mi nisha bambi bambika
Ati ati ati, bambi bambika ka, bambi mbambika
Ati bambi bambika ka, bambi mbambika eh
Tuko na Mola tunajiachilia leo
Bahati, Ethic iwafikie leo
Bambi bambika ka, bambi mbambika
Ati bambi bambika ka, bambi mbambika eh
Karibu kwa hii party leo
Tunauza imani bila money leo
Ametutoa mbali huyo
Uliza hata Swat hatuwachi leo
Niko chupri, niko chupri kwa pori
Mboka lazma itachapwa siworry
Kwa dimanga siwezi rudi ni ngori
Cheda sakwa uza meda sichoki
Na kachoki ni ka konki katoti
Ka ni babi amedai atacheza
Ka ni gwangi ni lazima achezewe
Pewa pewa saksuliwa perembwa
Bambi bambika ka, bambi mbambika
Ati bambi bambika ka, bambi mbambika eh
Tuko na Mola tunajiachilia leo
Bahati Ethic iwafikie leo
Ati ati ati, bambi bambika ka
Bambi mbambika
Nimucheki na Konyagi kukanyagia
Kamucheki na Konyagi kukanyonga
Buda kukacheki muda kaka fisia
Eh juzi Suzzy akamkazia
Ka ni pedi niekee tatu nitakupata
Ka ni lady heri pesa kwa kibanda
Nieke dredi nizipande fertilizer
Tukimedi kwa kinganya tukikata
Ka ni mboka bana stakaokota
No kimbelembele usiturn kukaokota
Ka ni family nadai son daughter
Roundia stick tatu tatu ka mbota
Penda starehe saa utare
Huwezi bargain starehe
Pumwani data hapo kando ya Starehe
Mi born starehe sin huwa si liquor kam kusele
Rada safi yaani basi bambi bambika
Na ju sijali ni wazi, mi nisha bambi bambika
Ati ati ati, bambi bambika ka, bambi mbambika
Ati bambi bambika ka, bambi mbambika eh
Tuko na Mola tunajiachilia leo
Bahati Ethic iwafikie leo
Everybody leo, Mungu wa redio ni leo
Leo, collabo of the year ni leo
Leo, Mungu wa redio ni leo
Leo, collabo of the year ni leo
Ati ati ati, bambi bambika ka!



Авторы: Kevin Bahati


Bahati - Bambika
Альбом Bambika
дата релиза
16-03-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.