Текст песни Fikra Za Bahati - Bahati
Mamako
akinipenda
niite
baba
wa
kambo
Wasani
kwa
uwanja
na
deal
nao
kirambo
Uliza
sauti
sol
wao
ndio
kufungua
lebo
Wakati
wanasign
mi
nishadismiss
kitambo
Mziki
sio
kiki
makali
kama
panga
Mwisho
wa
maneno
Rington
nakuvisha
kanga
Pole
Octopizzo
walikusukumanga
Mzungu
ulipata
ukashindwa
kujipanga
Sina
urafiki
wa
mtoto
peremende
Leo
mtajua
siri
ya
kifo
cha
mende
Mr.
Omollo
kwa
gym
ni
matembe
Daddy
Owen
ulitu
Kwenye
Beat
umeokoka
unahubiri
Na
ulifanya
mimba
iwe
siri
Mbona
yangu
ilikuwa
hivyo
nikaitoa
kafiri
Na
bado
mnauliza
na
mbona
siko
kwa
injili
Siongopi
mkisema
nishasikia
tayari
Maneno
hainiwezi
yananifanya
ngangari
Natema
wala
kwa
kila
hari
nashwari
Bunda
uko
salama
ndio
wa
hatari
Mi
ni
stima
naogopwa
kama
kifo
Wakisikia
Bahati
akili
zinaingia
default
Mi
navibe
mi
ndio
Bob
Marley
Mbao
ya
Ronaldo
wakojoe
walale
Mi
ndio
bump
mtaslow
down
Mi
sio
wa
kukam
mi
ni
born
town
Ni
fikra
ya
Bahati
in
the
love
like
this
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.