Bahati - Machozi текст песни

Текст песни Machozi - Bahati



Ooh Bahati Bahati tena
Maachozi machozi ii, machozi mamaye
Machozi skiza papaye
Vidonda vichungu na fikra ona
Vile niliumia
Machozi machungu nakuta mbona
Hakuna vile ningeficha *2
Maisha yangu ya usali,
Kasoro mali
Wapi wangu waniokoe,
Napoteza mzazi uchungu wa mwana,
Mbona mola uniondoe *2
Nilikosa hata moyo kuchonga moyoni,
Niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga nililia msee iaa
Nilijawa machozi,
Mbona mimi
Maswali kwa mola,
Mbona mimi
Nilijawa machozi,
Mbona mimi
Mbona dunia uchungu,
Mbona mimi
Oooi oooi oooi oooi
Oooi oooi oooi oooi
Nafanya napata gharama,
Kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu,
Niliota kupenya
Mziki ilifanya sana napata gharama,
Kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu,
Niliota kupenya
Ilikuwa uchungu madungu zangu,
Nilijawa naumia aai
Ilikuwa machozi sina hata pozi,
Ila tumbo inalia aai *2
Nilijawa machozi,
Mbona mimi
Maswali kuwa mola,
Mbona mimi
Nilijawa machozi,
Mbona mimi
Mbona dunia uchungu,
Mbona mimi
Oooi oooi oooi oooi
Oooi oooi oooi oooi
Naye ukaniweka chini,
Niende wapi mwenzio
Niliangaika kwenda mjini,
Mashambani hivo hivo *2
Ukawamu kunionyesha mapenzi,
Hapo siku ya kwanza
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi,
Ndio ukaniacha *2
Nilikosa hata moyoni,
Niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga,
Nililia msee aai
Nilijawa machozi,
Mbona
Maswali kwa mola,
Mbona
Nilijawa machozi,
Mbona mimi
Mbona dunia uchunga,
Mbona mimi
Mbona mimi, mbona mimi
Si amini ni mimi leo,
Maulana hayali mbivu oooh
Si amini ni mimi leo,
Rabuka hafungi sikio *2



Авторы: Bahati Bahati


Bahati - Mama
Альбом Mama
дата релиза
20-02-2014




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.