Bahati - Mapenzi текст песни

Текст песни Mapenzi - Bahati



Wengi kwa mapenzi hawana imani, yaliwaumiza sana, mapezi yana tesa zaidi ya money×2
Yalimtesanga kakangu zamani, Nyumbani kawa kisirani.washirika wakatoka kanisani,, Yalimtesa kakangu zamani wameyaiba kwa burudani, mwenyewe ayaonyesha msalabani
Oooh oh ooh ohh mapezi mbona utatesa tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2
Nilifunzwa na babu alivyo mtunza nyanyaa.Nikasoma kwa baba naye anavyompenda mamaa×2
Na Adamu akampenda Hawa sababu akala lile tunda.Hapo ndipo Dhambi kazaliwa,, unakumbukaa weee Na Adamu akampenda Hawa haraku ndo maana tunalia.kwa mapenzi inafanya tunacheka,, unanipataa.
Oooh oh ooh oh mapenzi kwanini unatesa tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2
Nkaogopa kupenda tena, Nikaogopa kupata wangu., Mtoto wa mama.mbona unatesa mapenzi.mbona unatesa kwai nini,, Mbona unatesa mapenzi
Kazini, nyumbani, kanisa inasema
Ooh ooh ooh oh mapenzi kwa nini unatea tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2



Авторы: bahati


Bahati - Mapenzi
Альбом Mapenzi
дата релиза
17-08-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.