Текст песни Sikukuu - Ben Pol
Upite
salama
babaa
eeeh
Sote
sote
tuwe
salamaa
babaa,
oooh
mwana
mamaa
Ufike
salamaa
eeeh,
upite
salamaa
babaa
Umalizike
salama
babaaa,
oooh
mwana
mamaaa
Tuombee
mungu
akina
babaa
na
akina
mamaa
eeeh
(eeeeh)
Tuombee
mungu
akina
kakaa
na
akina
dadaa
eeeh
(eeeeh)
Hata
wapenzi
wa
nyimbo
zetu,
babaa
Wapenzi
wa
burudani
eeeh
mwana
mmaa
Tuwe
salama
salimini
eeeh
Tuwe
salama
eeeh,
salama
mwana
mamaa
Kuna
wangine
sasa
wako
hospitali
Kuna
wangine
tena
wameshakufa
Kuna
wengine
wako
kifungoni
Waliobaki
oooh
baba
yooh
Waliobaki,
saidia
masikini
babaa
oooh
Saidia
masikini
babaa
eeeh
Eeeh
mwana
mamaa
Kuna
wangine
sasa
wako
hospitali
Kuna
wangine
tena
wameshakufa
Kuna
wangine
tena
wako
kifungoni
Waliobaki
oooh
baba
eeeh
Waliobakiii,
saidia
masikini
babaa
oooh
Saidia
masikini
babaa
eeeh
Oooh
mwana
mamaa
Na
wewe
ulie
mzima,
shukuru
mungu
Kifo
cha
sasa,
kama
maji
Yatokapo,
yaendapo
hayajulikani
oooh
Mwana
mamaa
oooh
Tuombe
mungu
daima,
mamaa
Miaka
yaenda
mbio
mwana
mamaa
Siku
zaenda
mbio
twende
wapi?
Miaka
yaenda
mbio
mamaa
Siku
zaenda
mbio
mwana
mamaa
Miaka
yaenda
mbio
mamaa
Siku
zaenda
mbio
mwana
mamaa
Usile
kumaliza
mwana
mamaa
Kwani
kesho
kutwa,
sikukuu
(sikukuu)
Miaka
yaenda
mbio
mamaa
Siku
zaenda
mbio
mwana
mamaa
Miaka
yaenda
mbio
mamaa
Siku
zaenda
mbio
mwana
mamaa
Usile
ya
kumaliza
mwana
babaa
Weka
kidogo
ya
sikukuu
(ya
sikukuu)
Miaka
yaenda
mbio
mamaa
Siku
zaenda
mbio
mwana
mamaa
Miaka
yaenda
mbio
mamaa
Siku
zaenda
mbio
mwana
mamaa
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.