Ben Pol - Upendo текст песни

Текст песни Upendo - Ben Pol



Oooooooo...
OOooooooo upeendoo.
Aaaaa upeendoo.
Siku moyo wako ulipopokea waangu
Maisha yangu yalibadilika mama weewee.
Ilikuwa ndoto iliyopata pumzi ya kweli mimi kukupataaa...
Ukaepusha viatu vyangu visiishe soli kukufatafataaa.
Kwetu upeendoo., ukazaa fuurahaa.
Na furahaa ikaleta amaaani.
Amaani ikazaa mazoeaa., mazoeaaa
Mamamamazoea mdudu mbaya mpeeenzi...(amekuingiaaaa)
Siku hata nikiimba uteenzi...(huoneshi kufurahiaa)
Kumbe vyayartaizitookoo. ndo maana.
Aaa.ooo upeeendoo.
Ooo o upeeendo..., unachuujaa oo upeendo
Upendopendo pendopendo oo
Ooo upeendoo... aaaa
Hali naumwa sana tumboo.
Ndo umekuwa wimboo
Nikikucheki ukohoi ila sio kwa tumbo lakoo
Nabaki najiuliza nini kinafanya utokee
Majibu spati mimi mimi mimiiii
Mduudu gaani alokwingia moyoonii
Hata uendekeze vijanaume flaanii
Mwanamke kutongozwa kweli haiepukikii
Mwanaume ukimwendekeza sound hazimwishiii.
Siwaaambie hawatakiiii.
Waaao wamekuwa mswatii.
Usinikwaazee, usinikwaze mpeenzi waangu.
Mbona tangu juuzi hulijui kumbatio laanguuuu
Aaa.ooo upeeendoo.
Ooo o upeeendo..., unachuujaa oo upeendo
Upendopendo pendopendo oo
Ooo upeendoo... aaaa
Ulivonipenda sio unaavyoo.nipenda leeoo
Mpenzi fanya uwezaavyoo.kuokoa upendoo
Ulivonipenda sio unavyoo.nipenda leeoo
Mpenzi fanya uwezaavyo kuokoa upendo




Ben Pol - Upendo
Альбом Upendo
дата релиза
25-02-2015

1 Upendo




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.