Ben Pol - Warira текст песни

Текст песни Warira - Ben Pol



Tatizo jina lake
Halinkauki mdomoni
Taswira ya sura yake
Hain′toki kichwani
Mapenzi na raha zake Nazi miss jamani
Matashititi mahaba yake Aninyima raha ndotoni
Kama shida pombe
Niko tayari kuacha
Aje tuyamalize
Si sawa mi kuniacha
Kama shida pombe
Sigara naacha
Aje tuyamalize Si sawa mi kuniacha
Funika kombe mwana haramu apite Kosa gani kubwa lisisameheke
Niambie basi japo nijirekebishe Hii hali inatesa nitakuja nife



Авторы: Benard Paul Mnyanganga, Thabit Juma Thabit


Ben Pol - IamBenPol
Альбом IamBenPol
дата релиза
11-11-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.