Текст песни Lucy - Bensoul
Mtoto,
mtoto
mdogo
(Sol
Generation)
Mtoto,
mtoto
mdogo
Amevaa
ngolopa,
mangolopa
Amevaa
ngolopa
(Original
ting,
ahh)
Hear
dis!
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko
wengi
Tusilazimishe,
tusilazimishe
penzi
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko
wengi
Don't
force
it,
don't
force
it
Lucy,
ah,
hizo
ni
nini
nasikia
Ati
kuna
maboy
wanajaribu
kukukatia
Na
pia,
kuna
vile
unawavutia
Ulikuja
na
mimi
wanataka
kunigeuzia
Lucy,
ah,
is
there
another
man
in
your
life?
Girl,
come
tell
me
stop
wasting
my
time
Ukitaka
penzi
ni
lazima
udecide
Ukitaka
kwangu
ni
lazima
uwe
mine
Lucy,
ah,
kalongo
longo
yako
ya
uongo
Unacheki
wengi
ama
tukuite
chongo
Msichana
mrembo
unanichanganya
ubongo,
wee
(Shugaa)
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko
wengi
Tusilazimishe,
tusilazimishe
penzi
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko
wengi
Don't
force
it,
don't
force
it
Niko
na
mipango
(Eeh)
Kama
una
zako
wewe
ziweke
kando
(Hmm)
Ju
kila
kitu
nime
order,
double
Nikipewa
yangu,
unapewa
yako
(Ookay)
Wewe
ndo
mpango
Mashida
zako
zote
weka
kando
(Eeh)
Usijali
baby
mimi
nitakuhandle
Mimi
kijana
noma
toka
Eastlando
(Ookay)
Usininyime
samosa
Ukitaka
sose,
nitakupa
mpaka
saucer
Kwani
kukupenda
mi
najua
si
makosa
Na
nikikupenda
mi
najua
sijakosa
Baby
love,
usininyime
samosa
Ukitaka
sose,
nitakupa
mpaka
saucer
Kwani
kukupenda
mi
najua
si
makosa
Na
nikikupenda
mi
najua
sija
(Aha!)
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko
wengi
Tusilazimishe,
tusilazimishe
penzi
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko
wengi
Don't
force
it,
don't
force
it
Ati
mtoto,
mtoto
mdogo
Mtoto,
mtoto
mdogo
Amevaa
ngolopa,
mangolopa
Amevaa
ngolopa,
mangolopa
Mtoto,
mtoto
mdogo
Mtoto,
mtoto
mdogo
Amevaa
ngolopa,
mangolopa
Amevaa
ngolopa
(Aha!)
Lucy,
I
love
you
And
I
need
your
love
But
don't
force
it
I
love
you...
Lakini
kama
tuko
wengi
(Ram-dadam-dam-dum)
(Eh-eh-eeh-eh-eh)
Lucy,
I
love
you
Lakini
kama
tuko,
aha
Don't
force
it,
don't
force
it
(Eh-eh-eeh-eh-eh,
burudika,
burudika,
naburudika
kidogo)
(Eh-eh-eeh-eh-eh)
Ooh-ooh-ooh-ooh
Mtoto,
mtoto
mdogo
Mtoto,
mtoto
mdogo
Amevaa
ngolopa,
mangolopa
Amevaa
ngolopa,
mangolopa
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.