Текст песни Navutishwa - Bensoul
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Moshi
pia
napuliziwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Naishi
kama
paka,
nalishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Haya
mapenzi
sijalipishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
mama
Navutishwa,
oh,
navutishwa
mama
Msosi
delivery
Pombe
chemikali
Mapenzi
halali
Ilikuwanga
silali
hapo
awali
Kanairo
hakuna
amani
Her
coochie
on
fire,
can't
deny
Miguu
zake
hunizunguka
kama
tire
Akibend
over
ni
game
over
Ona
nasosi
mpaka
naitisha
saucer
Nakulishwa,
eh
(matamu
ya
roho)
Naogeshwa,
eh
(oh,
mamou)
Ngotha
mbichi
navalishwa,
eh
Kidogo
tu
ninyonyeshwe,
eh
Dredi
zangu
zisokotwe
Shingo
nimassagiwe
Nasanifiwa,
narolliwa,
kisha
navutishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Moshi
pia
napuliziwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Naishi
kama
paka,
nalishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Haya
mapenzi
sijalipishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
mama
Navutishwa,
oh,
navutishwa
mama
Kuamka
kung'ara
na
kukaa
tu
Kula
mahaba
ya
kistaarabu
Natabasamu
bila
sababu
Kitandani
nafunzwa
adabu
Kukaa
kukaliwa,
kulala
kulaliana
na
kulaliwa
Maisha
ya
ghorofa
Nikitoka
kitandani,
naruka
kwa
sofa
Wi-Fi
imelipiwa,
eh
Nadekezwa,
eh
Upara
napapaswa,
eh
Nabembelezwa,
eh
Natulizwa,
eh
Uso
nakaliwa,
eh
Nasanifiwa,
narolliwa
kisha
navutishwa
Mama
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Moshi
pia
napuliziwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Naishi
kama
paka,
nalishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
Haya
mapenzi
sijalipishwa
Navutishwa,
oh,
navutishwa
mama
Navutishwa,
oh,
navutishwa
mama
1 Napepea
2 Somebody New
3 Navutishwa
4 Melody (Interlude)
5 Same Page
6 Dondosa
7 Hatujachelewa
8 Viva La Vida
9 Miracles (Outro)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.