Boondocks Gang - Mdarano (feat. Iphoolish) текст песни

Текст песни Mdarano (feat. Iphoolish) - Boondocks Gang



Ah taniua, mmmh aaah
Mavo on the Beat
Ah mapombe masigara unaeza dhani mi na Nviiri
Mjus jus hapa ujue mi kafiri
Kus kus naeza ingia ndani na kimwili
We ni mhot naeza kuchipo na chilli
Una rangi ya thao lakini sura ya ngiri
We ni mlight utawasha hadi tiri
Kuna poko wa area anasomea Kiriri
Nikulime nipande mbegu rudia mara ya pili
Kasoro robo niharibu tobo
Nifunge chobo zimeshika bozo
Jifanye kigogo upotee kirogo
Ah haha ah cheki
Fatuma ule mroro alitoka msikitini
Kifini alikuwa shada na manjiti
Alikulwa dry ju hakuwa amejipini
Kini hapo wao hukulwa tu maini
Kudaradara na kudaruka
Ni mdaradara nana!(Haishoo)
Ni kudaradara na kudaruka
Ni mdaradara nana!(Haishoo)
Dara darano, dara darano
Dara darano ndani ya daro
Dara darano, dara darano
Dara darano hadi unyoro
Huishi keja bila funiture anataka nikameze
Amebeba nyama na anadai nimsosi
Ako na paka anadai ni doggy
Nichimbe nipande mbegu hadi ajikune
Juu ya kishada ndo hii track usiban aah
Usikazie hewa ndio fan
Vi-vijana piga kuni ate choche
Mnasema toa kutu mpe proteins
Dem hayuko box na ashafinywa
Alidai kichwa tu akalimwa
Ukimarinate usizime
Marash ni ya njoti kejani si ya futhe
Kudaradara na kudaruka
Ni mdaradara nana!(Haishoo)
Ni kudaradara na kudaruka
Ni mdaradara nana!(Haishoo)
Dara darano, dara darano
Dara darano ndani ya daro
Dara darano, dara darano
Dara darano hadi unyoro
Zangu zimeshika ka sabuni
Osha mangeus ndio uchangie uchumi
Nyama choma yangu nimeweka chumvi
Chai ninamwaga haihitaji hadi kichungi
Round ya kwanza kashaanza kuwika
Round ya pili kajaba kametushika
Round ya tatu ka ni mtaro ni kuchimba
Round ya nne umekula bila kinga
Simama imara tu kama simba
Waru na mara cheki jo utashiba
Neke wena wara na ng'ang'o ni mzinga
Kama hufiki bei hasara ni ya wale maninja
Kudaradara na kudaruka
Ni mdaradara nana!(Haishoo)
Ni kudaradara na kudaruka
Ni mdaradara nana!(Haishoo)
Dara darano, dara darano
Dara darano ndani ya daro
Dara darano, dara darano
Dara darano hadi unyoro
Dara darano, dara darano
Dara darano ndani ya daro
Dara darano, dara darano
Dara darano hadi unyoro



Авторы: Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu


Boondocks Gang - Modo Man
Альбом Modo Man
дата релиза
18-11-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.