Chris Kaiga - Next текст песни

Текст песни Next - Chris Kaiga



Kuna kadem mi hukapatakanga kasawa
But sijai mwona bila weave yawa
(Next)
Huu mwingine hunitext by the hour
Si kwa ubaya but the boy asha-tire
(Next)
Pata dem ako flat vi-excess
Mko same mkivalia ma-vest
(Next)
Niko on na singedai hizo msee
To the left to the left that's West
(Next)
Si vibaya, ma-time huwa unalewa
But kumbuka pia bado hujaolewa
(Next)
Hatukatai
Sura ulipewa
But kando ya tabia, ubaya, hewa
(Next)
Ni nani ule kando ya meza
All-natural, ameguzia tu make-up
Aki ya nani si anatesa
Pigia mzazi umwambie nimependa
Ugh, lakini analenga
Nime-try kum-halla but bado analenga
Na vile ameweza
Anyway, onto the next one
(Next)
(Nimesema next) (ah ah, cheki)
(Who's next) (who's next)
(Next) (next) (who's next)
(Next) (nimesema next)
Akinicheki anapiga mahesabu
Nikama yee ni mwalimu wa dhafu
Anaringia ugali na managu
Na home anakulanga sembe kavu
Alini-show, "I don't do matatus"
Kidogo amalize sole za viatu
Jana nimemtumia fare kaa mara tatu
Na bado hata hajafika kwangu
Kwa Instagram ameweza
But in person
Vitu huwa different kwa graooo
Bila make-up anakaa kaa bratha yangu
Asipopaka nitaambia nini watu
Ni nani ule kando ya meza
All-natural ameguzia tu make-up
Aki ya nani si anatesa
Pigia mzazi umwambie nimependa
Ugh, lakini analenga
Nime-try kum-halla but bado analenga
Na vile ameweza
Anyway, onto the next one
(Next)
Nimesema next (ah ah, cheki)
Next Who's next who's next
(Next) (next) (who's next)
(Next) (nimesema next)




Chris Kaiga - Next
Альбом Next
дата релиза
06-03-2020

1 Next


Еще альбомы
Исполнитель Chris Kaiga, альбом Kengele
2021
Исполнитель Chris Kaiga, альбом I Want
2021
Исполнитель Chris Kaiga, альбом Konkodo
2020
Исполнитель Chris Kaiga, альбом Bundas
2019
Исполнитель Chris Kaiga, альбом Niko on
2019
Исполнитель Chris Kaiga, альбом Zimenice
2019
все альбомы


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.