Christian Bella - Gaga текст песни

Текст песни Gaga - Christian Bella



C.B.O
Mmmm, mmmm mmm
Kwanza Moja nishukuru, sababu niisha sota sana
Leo mfungwa niko uhuru
Hasikai badiri chanya
Moyo wake si waudongo
Ni ngumu kumomonyooka
Macho ka ya futatongo, vigumu kurubunika
Na tena nita jitaidi kun'gan'gania n'gan'gani
Shumeni huuba nina hudi, chuki visa visirani
Na akasema baga, kuleni nyinyi nkaridhika na huji wadona
Ushamba mbiyo za sakafuni
Hachepuki kwa sangara donaa
Gaga gaga (gaga gagaaa.)
Gaga gaga (gaga gagaaa.)
Gaga gaga (gaga gagaaa.)
Anavyo nisugua nje nifate nini?
Gaga gaga (gaga gagaaa.)
Mm gagagaaa gagaa iyee yeah!
Kweli mapenzi niupofu
Na papasa bado namgusa yeye
Moyo ukauvisha jogovu, mmmh
Upande wapili wasarafu
Kiapo nitazikwa na yeye
Harufu asaganra minofu, mmhh
Ye ndo coach miye kidolee ameniganda
Wafuku nyuku viherehere mtaishia kuchamba
Tule nguruka, tule tembele tuna jichangaa
Kesho zitakuwa tele tutajilimbaaa
Uuh gaga!
Gaga gaga (mm gaga gagaaa.)
Gaga gaga (gagaaa.)
Mm gagaaa gaga
Anavyo nisugua nje nifuate nini?
Gaga gaga
Mm gagagaaa gagaa iyee yeah!
Ooohh-oooh-oohh
Wouhoo wouhuo wowohoo
(Kamixlizer)



Авторы: Christian Bella Kwete


Christian Bella - SWEET MELODY
Альбом SWEET MELODY
дата релиза
13-12-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.