Christian Bella - Nashindwa текст песни

Текст песни Nashindwa - Christian Bella



Mie, mamie (mamie)
We ndo mamie (mamie)
We ndo dadie (dadie)
Mie, mamie (mamie)
We ndo mamie (mamie)
We ndo dadie (dadie)
Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh
Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh
Mbona kama unanionea?
Haya mapenzi gani kila siku lazima ni mbembeleze
Nini sasa mpenzi wangu na we sasa mbembeleza
Na mimi nisikie unavyosikiaga nikikumbembeleza
Ona kaneno mapenzi, kaneno kafupi
Kana mambo mengi unayempenda atakuzingua
Si bora angesema ata mapema
Aliniacha nimezama, kutoka sasa
(Nashindwa) Shindwa (nashindwa)
Kutoka mimi
(Nashindwa) Shindwa (nashindwa)
Ah ahhh ah
(Nashindwa) Shindwa (nashindwa)
Sijui nifanye nini?
(Nashindwaa...) Mama weeeh
Angejua kabisa ninavyompenda
Sijawahi kupenda ndo yeye wa kwanza ananizuzua
Si bora angesema ata mapema ameniacha nimezama
Kutoka sasa
(Nashindwa) Shindwa (nashindwa)
Kutoka mimi
(Nashindwa) Shindwa (nashindwa)
Ah ahhh ah
(Nashindwa) Shindwa (nashindwa)
Sijui nifanye nini
(Nashindwa...) Mama weeeh
Tuli la la la la
Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh
Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh
Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh
Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh
Ghafla tu anafunga vilago, namuuliza hatakikusema
Tatizo ni nini? Sijui kunashinda gani?
Haya mapenzi, lawama kila siku mimi
Tulia mama, mimi ni wako nakupenda sana
Usihagangaike, usibabaike
Na wale maadui nataka wabaki na aibu
Wewe ni wangu, mimi ni wako, mpenzi wangu
Ebu punguza maringo ya mapozi nakupenda
Wewe ni wangu, mi ni wako, mpenzi wangu
Punguza maringo ya mapozi nakupenda
Mie, I say mamie (mamie)
We ndo dadie (dadie)
We ndo mamie (mamie)
We ndo dadie
Mie, mamie (mamie)
We dadie (dadie)
We mamie (mamie)
Yeh
Mie, mamie (mamie)
Ye ye ye ye ye
Ale we ni wangu, mi ni wako, mpenzi wangu
Punguza maringo ya mapozi nakupenda
Wewe ni wangu, mi ni wako, mpenzi wangu
Punguza maringo na mapozi nakupenda
Mie, mamie (mamie)
We ndo mamie (mamie)
We ndo dadie (dadie)
Mie, mamie (mamie)
We ndo mamie (mamie)
We ndo dadie (dadie)
Ale we ni wangu, mamie (mamie)
Mi ni wako mamie (mamie)
We ni wangu, mamie (mamie)
Mi ni wako mama oh



Авторы: Christian Bella


Christian Bella - Nashindwa
Альбом Nashindwa
дата релиза
20-08-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.