Christian Bella - Nishike текст песни

Текст песни Nishike - Christian Bella



Kapinga wewe kapinga wewe
Umeme si unajua nakupenda
Chakula changu cha kila siku ni ww
Nikila sishibi sikubali kabisa kushare na m2
Kapinga muzuri tukitoka watu wote macho kwake
Nikulinde vipi wasije nipora kapiii...
Wenye nyumba mapesa magari wengi macho kwake
Nikufiche wapi oooh baby.
Kapinga wangu sura ya babiii anapenda kucheka kununa kwake nooo, akikatika kidgo nadata namuita shelly
Akitingisha body napiga kelele
Sheeelly namuita sheeelly shelly shelly
Shellr bolingo nangai eeh
Nishike nikushike nishike ah ha kati kati katika ka
Bela wa bela ee, ...
Kuwa na kapinga moyo inahuruma ee
Kila siku ni maneno
Majungu na fitina
Et mm ninae nn sifai kuwa na yeye
Kila siku makelele jaman nn na mm wanataka niachane naye watasubiri sana
Kapi wangu sura ya babii anapenda kucheka kununa kwake nooo



Авторы: Christian Bella


Christian Bella - Nishike
Альбом Nishike
дата релиза
04-08-2016




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.