Collo feat. Scooby the Lazy Rapper - Jijue - перевод текста песни на английский

Jijue - Collo перевод на английский




Jijue
Jijue
Boss kama kalapina
Boss like a pimp
Bado tuko on toes kama ballerina
We are still on toes like a ballerina
Kitako kaa utazame
Come and watch me in the north
Keshopia si ni siku tutalamba kaa mchuzi
In Nigeria we will surely eat good food like sauce
EEH
YEAH
Si kwa sembe tu
Not only for prayers
Si kwa mlo tu
Not only for food
Si kwa hela tu
Not only for money
Si kwa mali tu
Not only for properties
Mwanaume ni kumjua yesu (JIJUE!!!)
A man is one who knows Jesus (KNOW YOURSELF!!!)
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Yesu4
Jesus4
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Jina ni mingi tutaskia
There are many names that we will hear
Moja lakini lanang'aa
But one name is shining
Hakuna aliye msafi kama yeye
There is no one pure like Him
Na si Poze wala Chibu au la?
Not Poze, not Chibu or what?
Hi ni matata uliza Kenzo naku-double dare
This thing is very serious, ask Kenzo and I double dare you
Najua ninapokwenda sitaja potea
I know that where I am going, I will not miss it
Kwa neema yake ndoo nanyenyekea
By His grace, I will humble myself
Bwana asifiwe na si siri
God be praised, it's not a secret
TUNAMTEGEMEA
WE TRUST IN HIM
Si kwa sembe tu
Not only for prayers
Si kwa mlo tu
Not only for food
Si kwa hela tu
Not only for money
Si kwa mali tu
Not only for properties
Mwanaume ni kumjua yesu (JIJUE!!!)
A man is one who knows Jesus (KNOW YOURSELF!!!)
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Yesu4
Jesus4
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Hakuna U-celeb Bila pesa so
No U-celeb without money so
Naweka imani kwa Mungu
I put my faith in God
Vuma uenee Bila pressure Bro
Spread everywhere without pressure Bro
Siste pia jua nyumbani ndio nguvu
Sister, know that home is strength
Ni family kwanza kabisa
It's family first
Kwa hii fani, nadra kubisha
For this thing, it's impossible to complain
Heshima kwa Babu na Nyanya
Respect to Grandpa and Grandma
Babangu na mama
My father and mother
Msijali vijana
Don't worry children
Twalisha watashiba
We will feed you until you are full
Si kwa sembe tu
Not only for prayers
Si kwa mlo tu
Not only for food
Si kwa hela tu
Not only for money
Si kwa mali tu
Not only for properties
Mwanaume ni kumjua yesu (JIJUE!!!)
A man is one who knows Jesus (KNOW YOURSELF!!!)
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
Yesu4
Jesus4
Mwanaume ni kumjua yesu
A man is one who knows Jesus
By the way
By the way
Hii niile kondoo
This is one lamb
Hii niile kondoo
This is one lamb
Watangoja sana niwe imbo!
They will wait a long time for me to be a song!
Ambia wao niko strong than before
Tell them I'm stronger than before
Kama life?
Like life?
Mimi nimeponda
I have crushed it.
Ingekuwa Dishy basi ningenona
If it was Dishy, I would have been fat.
Baba yangu sonko Ati
My father sonko Ati
Yeye ni donga!!!
He is a donga!!!
Maisha nywee...
Life you...
Kunyooka!!!!
Straighten!!!!
Si kwa sembe tu
Not only for prayers
Si kwa mlo tu
Not only for food
Si kwa hela tu
Not only for money
Si kwa mali tu
Not only for properties
Mwanaume ni kumjua yesu EEH
A man is one who knows Jesus  YEAH
Buuuuda
Buuuuda
Na tuko tu kwa hao kwani boss iko nini
And we are just with them, because we have our boss
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni kumjua...
A man is one who knows...
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni kumjua...
A man is one who knows...
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni kumjua...
A man is one who knows...
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni
A man is
Mwanaume ni kumjua YESU
A man is one who knows JESUS





Авторы: Addison Mbugua, Collins Mike Majale, Ian Amkoa Aswani

Collo feat. Scooby the Lazy Rapper - Jijue
Альбом
Jijue
дата релиза
17-01-2017

1 Jijue


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.