Conboi Cannabino - Twende текст песни

Текст песни Twende - Conboi Cannabino



Huh! who's talking 'coz naongea me you pay attention
Now my name is praise every time the burial's mentioned
Flow sick na hata dawa is hard to find niggas
Nachana toka standard six I couldn't be them niggas
Now watch me grinding niggas mpaka kwa climax
Switch music group they wish i never signed that
Raised by them street naongelea hadi kwenye beat
Ndio maana my metaphor's deep nicheki ninavyo spit
Talking in my sleep nnachohitaji ni kuwa fuckin rich
Ila nashtuka naona wanga tu all over me
Dont know what they want from me, all i know I'm never chill
Na kila hatua dua like I'm 'post to be
Just like Rosa Ree one time for these muthafuckaz
I'm killing this shit tangu kid sijawahi kuwaacha
Always with my G's and we all rappers
Music in my veins and i'll be dammed ka' nikija kuacha
S/o my big bro Sticky Yikki always thinkin biggie
Ndio aliyenipa flows hizi hizi, nikapiga tizi now I'm runnin the whole fucking Tz
And I'm so busy tryna make my life easy! easy!
Twende! Twende! Twende Twende! Twende! Twende! Twende! (Lets gooooooo!)
Twende! Twende! Twende Twende! Twende! Twende! Twende!
Twende! Twende! Twende Twende! Twende! Twende! Twende! (Lets gooooooo!)
Twende! Twende! Twende Twende! Twende! Twende! Twende!
Nawaambia machizi njia ni moja tuu on top
Twende tukatafute guap, usipende kusizi kwenye block all around the clock
Smoking on 'em pot, what the fuck is that? gotta fucking stop
My real stoners we don't fuck with that
Si' tuna hustle na tunasizi, tuko smart na tuko fit
Looking like snack watoto hawapingi, getting 'em cash ila hatuvimbi
Tayari 'nishakuwa dingi nikiwa pimbi hakuna ushindi
Nnachokifanya lazima kiwe na msingi na huu ni kama msingi
Natoka chini naenda juu, na sintoshuka chini kama flue
If you dont feel me your mama do, now nimeshika mpini whatchu gonna do
Rip kwa skinny wish angekuwa hapa with the crew, still remember you boo Ulishakwenda juu juu
Now tunaenda 2020 na mambo yameshakuwa plenty
Rap choose me ila bongo itachukua muda to understand me, nataka paper ili ni spend it Ila sitokagi kila weekend, na ukinikuta siko na watu wengi, circle small kishenzi
Watu hawapendi kuona wanyama tuna trend tunawapa wenge
Greedy bitches wenye unenge wanalia ili tuwachenge
Kama temba au chege twende twende tusiwalembe
Tuki pull up na magenge watu wanaruka hadi senyenge



Авторы: Rashid Said


Conboi Cannabino - Twende
Альбом Twende
дата релиза
26-02-2021

1 Twende




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.