Country Boy & Harmonize - Watoto текст песни

Текст песни Watoto - Country Boy & Harmonize



Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah
Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah
Its s2kizzy beiby
Yao yao
Country Wizzy again, ii
Na Konde boy
Kama una mtoto wako njoo naye
Usije ukazubaa baadaye
Niko na bunduki mi ni roll naye
Tuna roll up, roll up, roll up, yeah
Naona ashanga waka waka
Na mtoto anavyo kata kata
Itakuwaje akimkamata mata
Nitamchakaza chaka chaka
Nangoja muda ufike twende ndani(ayayayaya)
Kwenye bonge la uwanja kitandani(ayayayaya)
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinanga utani, utani, utani, utani
Tuna watoto wakali ooh
Kali oooh, kali ooh, kali ooh
Nyuma wana makalio
Kali oooh, kali ooh, kali ooh(iii)
Temeke na kinondoni(haya)
Nala manzese na mwana mnyamala mala
Hivi viatu vipo mfukoni(haya)
Anapigaga peku ya mipira tandala ndala
Nawa scare machezo anaunda kamati
Wana dance ana viuno nalo body body
Inabidi nijiongeze niwe big daddy
Yes I am a big daddy and am a move daddy
Wooooh
Mama wewe ni fire yo
Umekusanya kama kwaya yo
We ni number 1 desire girl
Kwenye michezo we ni mbaya yo
Nangoja muda ufike twende ndani(ayayayaya)
Kwenye bonge la uwanja kitandani(ayayayaya)
Nikuonyeshe vile mi hufanya mami
Sinanga utani, utani, utani, utani
Ooh beiby,
Katika piga magoti, piga magoti
Acha wanaopiga majungu
Asa namwaga manoti, namwaga manoti
Maana nisha hongwa na mzungu
Ona kapandisha uchizi hivyo
Kabinuka kama mbuzi kashikwa mapembe
Hasira za mkizi hizo
Furaha kwa mvuvi, kijino pembe
Tuna watoto wakali ooh
Kali oooh, kali ooh, kali ooh
Nyuma wana makalio
Kali oooh, kali ooh, kali ooh(iii)
Temeke na kinondoni(haya)
Nala manzese na mwana mnyamala mala
Hivi viatu vipo mfukoni(haya)
Anapigaga peku ya mipira tandala ndala
Its S2kizzy beiby
Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah
Konde boy na Wizzy, ii
Iyee Country Wizzy ah



Авторы: Country Boy, Harmonize


Country Boy & Harmonize - Watoto
Альбом Watoto
дата релиза
21-06-2019

1 Watoto



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.