Текст песни Hasara Roho - Darassa
Classic
Music
Aah!!
Kama
unataka
kiki
kwa
piki
piki
Mara
black
mara
white
vipi?
Kama
unatikisa
kiberiti
I
play
no
game
am
sory
rafiki
Ukija
kama
upepo
uta
pepea
Ukijifanya
una
mapepo
tuna
kemea
Kama
unataka
mchezo
kawashe
runinga
Sikuizi
hakuna
mta
anataka
ujinga
Ujanja
wa
nyani
mjini
utaingia
kingi
Meli
inaelea
feli
inazama
shilingi
Haraka
na
harakati
za
ko
za
pimbi
Unataka
kucheza
wewe
na
ushike
firimbi
Binadabu
angekua
nature,
maneno
yange
shutigi
kama
risasi
Vituvingine
vingienda,
ivirudigi
rivasi
kama
samaki
Hasara
roho
inacho
penda,
tunasemaga
pesa
makaratasi
Hakuna
wasiwasi,
tukaze
mwendo
ili
twende
na
wakati
eh
Dunia
iweke
tuzo
za
wachukiaji
Bongo
kunawatu
wana
vipaji
Narusha
madongo
kwenye
maji
Bora
upige
michongo
utanipa
midadi
Mara
chenga
mara
no
network
Zigi
zaga
vitu
avieleweki
Life
sikuizi
imezidi
kua
complicate
Ukichanganya
na
mambo
ya
internet
Jelaaas...
kesho
utatukana
picha
ukutani
Relax...
siatutafuti
mchawi
nani
Sasa
chagua
utajifungia
chumbani
Au
unatoka
goma
lipo
uwanjani
Kushoto
kulia
juu
chini
kamatia
Mzigo
wa
abiria
dereva
na
gia
Kichwa
cha
panzi
alewe
sifa
kama
bia
Si
tupo
serious
wee
unatuektia
Eeeeh!!!
Binadabu
angekua
nature,
maneno
yange
shutigi
kama
risasi
Vituvingine
vingienda,
ivirudigi
rivasi
kama
samaki
Hasara
roho
inacho
penda,
tunasemaga
pesa
makaratasi
Hakuna
wasiwasi,
tukaze
mwendo
ili
twende
na
wakati
eh
Utasema
nakudiss
Ila
mimwenyewe
unanimix
Mengine
ni
Madaranzi
na
sura
ya
machungwa
Utajua
viip
Kujiswichi
swichi
Mtu
kiatu
mtu
fifti
fifti
Uji
haufai
hutaki
chai
Moja
haikai
mbili
haifai
wee
wapi
unafitii
Eeeeeh!!
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.