Текст песни Relax - Darassa
Wazee
msilale
mchaka
mchaka
Kimbiza
dunia
haina
mipaka
Ukiweka
nia
kuna
njia
utapata
Kama
unasubiria
hakuna
matata
Mama
hajalea
maproso,
No
Kazaa
soldier
Commando
Na
siku
hizi
heshima
sio
shikamoo,
ooh
Time
money,
I
gotta
go
Sometimes,
vitu
zinakaza
unakomaa
We
utalala,
hauwezi
ukailaza
masaa
Unaleta
utani?
Okey
okey
Oh
nah
nah
nah
nah
Jifanye
kichaa,
zua
mabalaa
Zagaa
zagaa,
simama
kaa
Bang!
Unaenda
wapi?
Give
it
up
eey
Umepanick?
Relax
Pumzika
kwenye
kiti
Ikibidi
pata
drinks,
relax
Umepanick
eeeh
Relax
This
is
not
what
you
think
Shughuli
bado
mbichi
Relax
Unalewa
fasta
Mi
ndio
kwanza
napata
starter
Mezani
kwasa
kwasa
Sukuma
kanyaga
twende
Rudi
ata
kwa
puncture
Mdomo
haulipiwi
ukasema
lolote
Uongo
hauna
guarantee
ya
kufika
popote
Kitenisi
hakidundi
kwenye
matope
Usivae
kinyago,
vaa
swagga
unaweza
niogope
Sinaga
habari
za
kijinga
Akili
mali
ukichimba
Sitafuti
Zari
la
kuvimba
Nachonga
nachimba
Umetaka
mwenyewe
Usipige
kelele
unapokuwa
unawinda
Kaa
mbele
unanijua
tinga
tinga
Nishapigana
vita
nyingi
nimeshinda
Umepanick
Relax
Pumzika
kwenye
kiti
Ikibidi
pata
drinks,
relax
Umepanick
eeeh
Relax
This
is
not
what
you
think
Shughuli
bado
mbichi
Relax
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.