Текст песни Tofauti - Darassa
Anatingisha
sitigishiki
Nimeng'ang'ania
siti
Hisia
hazifichiki
Kipenda
roho
utakula
hata
nyama
nbichi
Mapenzi
yanashikaga
ngagali
Mapenzi
yana
nguvu
ya
hatari
Moto
wa
kuotea
mbali
Kwisha
habari
nimeshazima
gari
Waloshika
mabang
wameingia
mitini
Nakutana
na
madongo
ya
chini
chini
Wanaulizana
napagawa
na
nini
Sauti
akiongea
na
mwendo
wa
kutembea
Siwezi
hata
kuelezea
Nimeona
mengi
kwake
kuna
utofauti
Sauti
akiongea
na
mwendo
wa
kutembea
Siwezi
hata
kuelezea
Nimeona
mengi
kwake
kuna
utofauti
Kivuli
changu
ujanja
wa
kukikimbia
ntaanzia
wapi
Haya
haya
kumekucha
aliye
ulizia
mambo
yapo
katikati
Utazua
balaa
unanipandisha
kichaa
We
mwana
unananii
za
kushanga
aa
Atakapotea
majira
na
amevaa
saa
Sio
mchezo
Habari
na
maelezo
Waloshika
mabango
wameingia
mitini
Nakutana
na
madongo
ya
chini
chini
Wanaulizana
napagawa
na
nini
Sauti
akiongea
na
mwendo
wa
kutembea
Siwezi
hata
kuelezea
Nimeona
mengi
kwake
kuna
utofauti
Sauti
akiongea
na
mwendo
wa
kutembea
Si
wezi
hata
kuelezea
Nimeona
mengi
kwake
kuna
utofauti
Kivuli
change
ujanja
wa
kukikimbia
ntaanzia
wapi
Haya
haya
kumekucha
Aliye
ulizia
mambo
yapo
katikati

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.