Dena Mwana - Roho yangu текст песни

Текст песни Roho yangu - Dena Mwana



Sijuwe nitete ye je
Kwani maneno ya mimenipita aah
Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako
Huwezi ku pimwa
Hujuwa niya zangu uuh
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Maneno yangu machache kukueleza
Upendo wangu kwako
Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Aaaaaaaah
Aaaaaaah ouh aaaah
Sasa kama nvuwa
Maneno yangu yangu tiririka aah
Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu
Singeweza kusema
Ila ndani ya roho yangu ooouh
Baba hujuwa yote eiiii
Aksante kwa maisha ukweli njiya
Baba ubarikiwe
Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Humm
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Baba baaaaaba
Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaaaaa ah
Baabababababa
Kweli siwezi
Kusema chochote eii
Baba wangu
Babaaa
Kwa kweli siwezi
Sema chochote
Sikiya Roho Yangu



Авторы: dena muwayi mwanakitata


Dena Mwana - Hosanna
Альбом Hosanna
дата релиза
15-05-2011




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.