Denno - Mbona - перевод текста песни на немецкий

Mbona - Dennoперевод на немецкий




Mbona
Warum
Tarehe kama saba mwezi wa saba
An einem siebten Tag im siebten Monat
Miaka zimepita kumi na saba
Sind siebzehn Jahre vergangen
Humu duniani nishajipata
Ich habe mich in dieser Welt gefunden
Mimi, mimi, niko nilivyo
Ich, ich bin, wie ich bin
Sina baba wala mi sina mama
Ich habe weder Vater noch Mutter
Siwezi enda mbali, mi najificha
Ich kann nicht weit gehen, ich verstecke mich
Nachoka kujificha, najitokeza
Ich bin es leid, mich zu verstecken, ich zeige mich
Mimi, mimi, niko nilivyo
Ich, ich bin, wie ich bin
Nafunga virago vyangu, naenda mbali
Ich packe meine Sachen und gehe weit weg
Sijui nifanye nini, niende wapi
Ich weiß nicht, was ich tun soll, wohin ich gehen soll
Nifuate nani mimi, nimwite nani
Wem soll ich folgen, wen soll ich rufen
Mimi mimi niko nilivyo
Ich, ich bin, wie ich bin
Sioni mbona nyinyi mwanikimbia
Ich verstehe nicht, warum du vor mir wegläufst
Sioni mbona nyinyi mwanidharau
Ich verstehe nicht, warum du mich verachtest
Sioni mbona nyinyi mwaniepuka
Ich verstehe nicht, warum du mich meidest
Mimi mimi niko nilivyo
Ich, ich bin, wie ich bin
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Wakati Mungu aliniumba
Als Gott mich erschuf
Alipanga mpango wake
Hatte er seinen Plan
Kwamba mimi niwe jinsi nilivyo
Dass ich so sein sollte, wie ich bin
Mbona, sasa hamnidhamini?
Warum, achtest du mich jetzt nicht?
Mwaniona kama sifai
Du siehst mich, als ob ich unwürdig wäre
Sikuchagua niwe jinsi nilivyo
Ich habe nicht gewählt, so zu sein, wie ich bin
Nikitembea barabarani, macho mmenikazia
Wenn ich auf der Straße gehe, starren mich deine Augen an
Mbio mbio mwaniondokea, mimi ni kama nyinyi
Schnell, schnell läufst du vor mir weg, ich bin wie du
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Kwanini mwaniepuka
Warum meidest du mich?
Na mimi ni kama tu wewe
Und ich bin doch wie du
Na mimi ni kama tu wewe
Und ich bin doch wie du
Kwanini mwanidharau?
Warum verachtest du mich?
Kwanini mwanidharau?
Warum verachtest du mich?
Na mimi ni kama tu wewe
Und ich bin doch wie du
Na mimi ni kama tu wewe
Und ich bin doch wie du
Kwanini wanikimbia?
Warum läufst du vor mir weg?
Kwanini wanikimbia?
Warum läufst du vor mir weg?
Na mimi ni kama tu wewe
Und ich bin doch wie du
Na mimi ni kama tu wewe
Und ich bin doch wie du
Kwa nini? Kwa nini?
Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Mbona? Mbona?
Warum? Warum? Warum?
Mbona? Ahh mbona?
Warum? Ach, warum?






Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.