Текст песни Mbona - Denno
Tarehe
kama
saba
mwezi
wa
saba
Miaka
zimepita
kumi
na
saba
Humu
duniani
nishajipata
Mimi,
mimi,
niko
nilivyo
Sina
baba
wala
mi
sina
mama
Siwezi
enda
mbali,
mi
najificha
Nachoka
kujificha,
najitokeza
Mimi,
mimi,
niko
nilivyo
Nafunga
virago
vyangu,
naenda
mbali
Sijui
nifanye
nini,
niende
wapi
Nifuate
nani
mimi,
nimwite
nani
Mimi
mimi
niko
nilivyo
Sioni
mbona
nyinyi
mwanikimbia
Sioni
mbona
nyinyi
mwanidharau
Sioni
mbona
nyinyi
mwaniepuka
Mimi
mimi
niko
nilivyo
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Wakati
Mungu
aliniumba
Alipanga
mpango
wake
Kwamba
mimi
niwe
jinsi
nilivyo
Mbona,
sasa
hamnidhamini?
Mwaniona
kama
sifai
Sikuchagua
niwe
jinsi
nilivyo
Nikitembea
barabarani,
macho
mmenikazia
Mbio
mbio
mwaniondokea,
mimi
ni
kama
nyinyi
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Kwanini
mwaniepuka
Na
mimi
ni
kama
tu
wewe
Na
mimi
ni
kama
tu
wewe
Kwanini
mwanidharau?
Kwanini
mwanidharau?
Na
mimi
ni
kama
tu
wewe
Na
mimi
ni
kama
tu
wewe
Kwanini
wanikimbia?
Kwanini
wanikimbia?
Na
mimi
ni
kama
tu
wewe
Na
mimi
ni
kama
tu
wewe
Kwa
nini?
Kwa
nini?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Mbona?
Ahh
mbona?

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.