Текст песни Moyo Wangu - Diamond
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Upole
wangu
simanzi
eeehee,
kwa
kukupenda
maradhi
eeehee
Lakini
kupendwaga
mi
naye
bahati
huaga
sina
Jichoni
kwangu
kibanzi
eeehee,
tena
nampenda
kamanzi
Licha
ya
kumthamini
kama
shilingi
tatizo
hata
raha
sina
Ufinyu
wa
mboni
zangu
unatazama
mengi
aliyonipa
mateso
Tena
hata
kupenda
sina
raha,
ona
nakonda
kwa
mawazo
Masikini
penzi
langu
Gina
nilishakata
na
kauli
roho
inatoka
kesho
Kutwa
nzima
mara
eeeee
mara
iiiii
hata
najuta
kupendaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeyeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeyeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Mmmmhh
tena,
kutwa
kucha
mara
ooohhh
Huwezi
kosa
maneno,
ili
mradi
tu
tara
tantalila,
mmmh
sina
raha
Wala
sina
tena
mipango,
kutwa
nzima
na
mawazo
Gina
Mmhhh
aaaaaahh
ooohh
sina
raha
oo
mama
Tamu
ya
wali
ni
nazi
eeeeee,
raha
ya
supu
maandazi
eeeeeeee
Raha
yangu
mi
kupendwa
tu
naye
lakini
nyota
sinaaa
Na
napata
na
radhi
eeeeee,
nawakufuru
wazazi
eeeeeee
Kwa
kung'ang'ana
mi
kutaka
kuwa
naye
lakini
bahati
sinaaa
Masikini
roho
ingalikuwa
ni
nguo
ningempa
avae
japo
akipita
wamsifie
Ila
lakini
ni
kikwazo
Masikini
penzi
langu
Gina
nilishakata
na
kauli
roho
inatoka
Kesho
kutwa
nzima
mara
eeeee
mara
iiiii
hata
najuta
kupendaaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
Moyo
wangu,
moyo
wangu
mama
eeeeee
Moyo
wangu
mimi
umeniponza
mamaaaa
1 Lala Salama
2 Moyo Wangu
3 Chanda Chema
4 Nimpende Nani
5 Najua
6 Mawazo
7 Kwa Nini
8 Natamani
9 Gongolamboto
10 Kizaizai
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.