Текст песни Mapoz (feat. Mr. Blue & Jay Melody) - Mr Blue , Jay Melody , Diamond Platnumz
Hmm-hmm
Oh-no-no-no
Jay
once
again
Penzi
zito
kilo
mia
hamsini
Vile
napata
raha
utaniambia
nini
Kuna
muda
kama
siamini
Na
kuna
muda
ni
ka
napendwa
na
jini
Maana
penzi
lako
ndege
mtini
Niko
matawi
ya
juu
nisha
tulia
mimi
For
your
love
let
me
sing-sing
Nishakolea
hatari
mapenzini
Tamu
pipi
ya
kijiti
(ah-han)
Ukilamba
unacheka
Na
kibaridi
hiki
Niozesheni
hata
ndoa
ya
mkeka
Penzi
halishikiki
(an-han)
Linavyotetemesha
Si
tufunge
muziki
Nikuonyeshe
jinsi
Nnavyocheza
Mi
na
mapoz
na
mimi
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Na
sio
ndumba
waala
raha
tuu
zimenizidi
Sio
mambo
ya
mitala,
penzi
mwenye
nafaidi
Oh,
nalishwa
nalala,
nakumbatwa
kwa
baridi
Usinione
nang'ara
natunzwa
Alhabibi,
oh-ooh)
Matikiti
kudondoka,
matikiti
kudondokea
Marafiki
huwa
ni
nyoka,
hivyo
chunga
wanayo
ongea
Nikandekande
nikichoka,
sio
narudi
unanifokea
Wenda
mwenzio
nilipotoka,
mambo
fyongo
hayaja
ninyokea
Tamu
pipi
ya
kijiti
(ah-han)
Ukilamba
unacheka
Na
kibaridi
hiki
Niozesheni
hata
ndoa
ya
Mkeka
Penzi
halishikiki
(ah-han)
Linavyotetemesha
jamani
Si
tufunge
muziki
Nikuonyeshe
jinsi
navyocheza
Mi
na
mapoz
na
mimi
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
namimi
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami,
mi
na
mapoz
namimi
Ngoja,
huu
ni
usiku
au
mchana?
Hold
up,
hii
ni
leo
au
ni
jana?
Mapoz
nami,
ah,
unanikumbusha
ujana
Roho
unavyoirusha
ntakuja
kufa
msichana
Nimepagawa
uwanjani
na
sijui
ngapi-ngapi
Refa
ni
nani
mbona
mpira
hauji
kati
Nichague
kijani,
yellow
au
papi
Au
nije
muda
gani
ili
niende
na
wakati
Unawakanya
mabishoo
Kitandani
unanipa
show
mpaka
nasahau
show
(ah-wee)
Unanchanganya
kwenye
roho,
usije
kun'danganya,
no
Weka
penzi
niweke
Doo
(ah-wee)
Mapoz
nami
we
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
we
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
we
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
we
na
mapoz
na
mimi
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
na
mimi
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
nami
Mapoz
nami
mi
na
mapoz
na
mimi
Eyoo
Zombie
What
it
do?
We
back
Number
moja,
moja,
moja,
moja
Hii
ni
sauti
ya
Rais
Yani
President
Haujui
(Wasafi)

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.