Diamond Platnumz feat. Fally Ipupa - Inama текст песни

Текст песни Inama - Fally Ipupa , Diamond Platnumz



Ayolizer
Kukudekeza kama mtoto, furaha unafurahia
Ghafla ugeuka moto, machozi unalia
Mwembamba munene uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize afukuzishe mwarabu
Penzi yoyo oyo, limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni naishia kuwa-like Insta
Hivo asiyekupenda achana naye
Anayekupenda, pendana naye
Mambo stress ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi kama songi limekolea
Asa inama ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
Oya inama (inama Beiby)
Basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama (inama beiby)
Ebu pinda mgongo kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo
Toujours l'amour ebandaka n'esengo
Ba bisou, ba câlin, ba cadeau,
Ba je t'aime tout le temps
Mawa eleka wapi bébé nanga aza présente,
Soucis eleka wapi chérie nanga azaliyee
Tango nyoso olobelaka nga je t'aime
Baloba baseka oh baloba baseka
Nga nako lemba te
Baloba baseka oh baloba baseka
Nga nako lemba te
Chérie nanga aza kitoko
Cherie nanga aza elengi trop
Chérie nanga aza kitoko
Bébé nanga aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué
Mais chérie à moi toujours romantique
Asa inama Ebu pinda mgongo (nakupinda mgongo)
Oya inama (oya inama)
Basi pinda mugongo (Bébé nanga aza)
Asa inama ebu pinda mgongo (ooh mgongo)
Oya inama (ola inama)
Basi pinda mgongo
Asa nionyeshe unanyongaje
Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli Ah
Kiuno kifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli Ah
Nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli nyonga
Kaa kibasikeli nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (analilili)
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (tilali)
Analishare lishare (oooh)
Yeah Samuel Etoo, Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa, the boss Tozali kolo,
Wakokokate (Kokate)



Авторы: FALLI IPUPA N SIMBA, NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK


Diamond Platnumz feat. Fally Ipupa - Inama
Альбом Inama
дата релиза
03-05-2019

1 Inama



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.