Текст песни Zilipendwa - Rich Mavoko , Harmonize , Diamond Platnumz , Rayvanny
Oooh!
hizo
ni
zama
za
kale
Oooh!
Sangulo
na
pepe
kale,
Zilipendwa
Eh!
Kizamani,
kutoa
card
na
maua
(zilipendwa)
Wanataka
money
ukilipa
unakwarua
(zilipendwa)
Ufundi
kitandani,
sio
maguvu
kujikamua
(zilipendwa)
Unafika
ndani,
hujatomasa
unachanua
(zilipendwa)
Wanawake
wa
leo
wanataka
mikakati
Ukiwa
mzugaji
haki
ya
mungu
huwapati
(zilipendwa)
Mapenzi
ya
video
yatakutoa
kamasi
Eti
nikinywa
maji
nakuona
kwenye
glass
(zilipendwa)
Eeh!
kupiga
chabo
getto
(zilipendwa)
Mkono
na
dettol
(zilipendwa)
Sunche
na
kapeto
(zilipendwa)
Majay
na
Mobeto
(zilipendwa)
Oooh!
Hizo
ni
zama
za
kale
Oooh!
Sangulo
na
Pepe
kale
Mmm
bolingo
ndombolo
(zilipendwa)
Twanga
chipolopolo
(zilipendwa)
Na
maji
ya
kandoro
(zilipendwa)
Simba
wa
Morogoro
(zilipendwa)
Tani
sipati
sukari
guru
kabisa
(zilipendwa)
Hivi
yuko
wapi
Mb
Dogg
wa
Latifa
(zilipendwa)
Babu
Tale
wapi
papa
misifa
(zilipendwa)
Siku
hizi
party
hatuendagi
Ibiza
(zilipendwa)
Mpira
na
Pele
(zilipendwa)
Tanu
na
Nyerere
(zilipendwa)
Asha
Ngedere
(zilipendwa)
Arusi
mabele
(zilipendwa)
Eti
Uuze
nyumba
uweke
heshima
bar
Eti
Ulazimishe
aliyekukataa
Sabuni
Kicherema
(zilipendwa)
Mabanda
ya
Cinema
(zilipendwa)
Lipumba
na
lema
(zilipendwa)
Diamond
na
Wema
(zilipendwa)
Ooh
hizo
ni
zama
za
kale
(zama
za
zamani)
Ooh
Sangulo
na
pepe
kale
(yoyoyo)
Mmm...
na
sogi
dogg(zilipendwa)
Chanel
analogy
(zilipendwa)
Movie
za
saibogy
(zilipendwa)
Van
Dame,
Anod
(zilipendwa)
Una
nibeep
nikupigie
umeiweka
vocha
(haloo)
Ule
wewe
nilipe
mie
umeniona
Lofa
Tena
na
madada
wenye
majina
acheni
visa
Unaitwa
ukale
diner
mnakwenda
Tisa
Nywele
za
kichina
(zilipendwa)
Pochi
za
kuazima
(zilipendwa)
Zena
na
betina
(zilipendwa)
Bashite
gwajima
(zilipendwa)
Ooh
hizo
ni
zama
za
kale
(zama
za
zamani)
Ooh
Sangulo
na
pepe
kale
(yoyoyo)
Mmm
Amitabh
Bachchan
(zilipendwa)
Tv
kwa
jirani(zilipendwa)
Madee
Rayvany
(zilipendwa)
Zari
Ivan
(zilipendwa)
Yanini
kunichunguza
naish
wapi
(zilipendwa)
Nala,
chapati
kwa
maini
au
makange
(zilipendwa)
Kutwa
kunikalia
chini
unakamati
Oh
ya
Rabi
masikini
kuni
dhihaki
Ah
sampamba
pangala
(zilipendwa)
P
Funk
Kajala
(zilipendwa)
Onyango
na
Jangala
(zilipendwa)
Rufufu
mkandala
(zilipendwa)
Vya
nini
vidomo
domo
tutupiane
tunguli
Kisa
pesa
za
mkopo
msimu
wa
Magufuli
Ah,
Bongoman
yondo
(zilipendwa)
Sikinde
Msondo
(zilipendwa)
Magari
ya
Udongo
(zilipendwa)
Babu
wa
Loliondo
(zilipendwa)
Ooh
hizo
ni
zama
za
kale
(zilivumaga
sana)
Ooh
Sangulo
na
pepe
kale
(yoyoyo)
Ah
Tv
za
kichogo
(zilipendwa)
Wakina
Man
Dojo
(zilipendwa)
____na
Iyobo
(zilipendwa)
Akina
Hatupogo
(zilipendwa)
Eti
msiba
ukiona
Bundi
unataka
kupagawa
Tulale
makundi
makundi
kuogopa
popo
bawa
Zuwena
nitampata
wapi
(zilipendwa)
Zuwena
wa
zile
nyakati
eh
(zilipendwa)
Kujifanya
mapanga
sunna
wamepinda
Wengine
wabeba
vyuma
na
hakuna
marinda
Iddi
Amini
dada(zilipendwa)
Miuno
ya
H
Baba
(zilipendwa)
Domo
Chai
Jabba
(zilipendwa)
Michezo
ya
kibaba
baba
(zilipendwa)
Wale
wapiga
deal
sasa
hali
mbaya
(zilipendwa)
Hizi
zama
za
Magufuli
si
za
Jakaya
(zilipendwa)
Ugomvi
wa
Mr.Nice
na
Dudu
Baya
(zilipendwa)
Vikatuni
vya
madenge
baba
ubaya
(zilipendwa)
Muhogo
mchungu
mr.bean,
wapi
bambo
(zilipendwa)
Wale
wazamiaji
wale
wa
melini
wazee
wang′ambo
Hivi
yuko
wapi
Banjamini
wa
Mambo
Jambo
Wa
Vietnam
waporini
vita
na
Rambo
Eh
ndanda
Mjela
jela
(zilipendwa)
Kidali
Kombolela
(zilipendwa)
Max
na
Zembwela
(zilipendwa)
Juma
Nature
na
fela
(zilipendwa)
Ooh
hizo
ni
zama
za
kale
(zama
za
zamani)
Ooh
Sangulo
na
pepe
kale
(yoyoyo)
Mmm
kamanda
Daz
Nunda
(zilipendwa)
Kalumanzila
Ndumba
(zilipendwa)
Simu
za
Dole
gumba
(zilipendwa)
Johari
na
Kanumba
(zilipendwa)
Wasafii
Zilipendwa,
zilipendwa
Zilipendwa,
zilipendwa
Ohlilelelileeee
Zilipendwa
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.