Текст песни I Miss You - Diamond Platnumz
Hello!
Napo
vipi
sijui
unanisikia?
Hello!
Nnamaneno
natamani
kukwambia
Hello!
Tafadhali
usije
nikatia
Hello!
Ona
mpaka
nasahau
kusalimia
Habari
gani
leo
nmekumbuka
sana
Na
mama
yani
twakuwazagaa
Vipi
nyumbani
hali
ya
mumeo
na
wana
Na
aunty
Shani
wa
chimwagaa
ah
ah
Kile
kidonda
changu
cha
roho
bado
kinatia
tabu
Nnajitaidi
kukaza
roho
ila
nadhidisha
adhabu
Tena
silali
oh
nasubiri
maajabu
Maumivu
yangu
ayajapata
dawa...
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh...
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh
Na
roho
yangu
mama
(bingili
bingili)
Ah
nikikuwaza
(bingili
bingili)
Nikisinzia
(bingili
bingili
bayoyo)
Oh
nikilala
(bingili
bingili)
Inama
inuka
uwoh
(bingili
bingili)
Yani
sina
raha
(bingili
bingili
bayoyo)
Ah
iyeeeh
ah
iyeeeh
Tatizo
kwetu
sijui
nini
kosa
langu
Mpaka
nikawa
adui
ghafla
ukanichukiaga
Nawaza
ila
siambui
ama
shida
zangu
Simba
nikawa
chui
mi
roho
inaniumaga
Yawezekana
ahadi
zangu
zisizotimia
Ndio
maana
haukutaka
kusubiria
Nasema
nyama
mwisho
wa
siku
naleta
bamia
Chai
mchana
usiku
dona
kurumaghia
Nilitamani
sana
ila
nguvu
yangu
palinishia
Ningalikua
na
uwezo
ningekutimizia
Mingali
unafuraha
haya
maumivu
ntayavumilia
Ila
japo
nambie
ivi
unanifikiria
maana
eh
eeh
Nakumkumbuka
iyeeh
iyeh
nakumkumbuka
sana
Ooh...
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh
I
miss
you
nakukumbuka
iye
iyeh
Na
roho
yangu
mama
(bingili
bingili)
Ah
nikikuwaza
(bingili
bingili)
Nikisinzia
(bingili
bingili
bayoyo)
Oh
nikilala
(bingili
bingili)
Inama
inuka
uwoh
(bingili
bingili)
Yani
sina
raha
(bingili
bingili
bayoyo)
Ata
nikila
(bingili
bingili)
Nikikuwaza
(bingili
bingili)
Nikilala
heeh
(bingili
bingili
bayoyo)
Ona
roho
mama
(bingili
bingili)
Ah
nikikuwaza
(bingili
bingili)
Nikisinzia
(bingili
bingili
bayoyo)
Heeeh!
Roho
yangu
mama
(bingili
bingili)
Heh
heh
heeh!
(Bingili
bingili)
Heh
heh
heeh!
(Bingili
bingili
bayoyo)
Oooh
roho
yangu
mama
(bingili
bingili)
Inama
inuka
uwoh
(bingili
bingili)
Chibu
sina
raha
(bingili
bingili
bayoyo)
Ah
ata
nikila!
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.