Текст песни Kosa Langu - Diamond Platnumz
Ah!
Barua
yako
uliyotuma
kwa
Ricardo
Momo
nimeisoma
Ila
nimechelewa
kuijibu
sababu
moyoni
imenchoma
Eeh!
Nliyo
yategemea
Tofauti
na
nlicho
kiona
Hata
naandika
hii
barua
Huku
roho
yangu
inansonona
Umesema
nichane
nguo
Pia
funguo
umeirudisha
sawa
Simu
niziweke
kituo
na
sio
chaguo
Nikome
kabisa
sawa
Umesema
hata
ile
picha
nzuri
nliyo
kukumbatia
Niichane
sawa
Ila
kinachoniumiza
Mbona
moja
umesahau
Kosa
Langu
Kosa
Langu
Hujaniambia
Na
kuniacha
peke
yangu
Ukanikimbia
Ila
mbona
kosa
langu
Hujaniambia
Nami
nikabiki
peke
yangu
Ukanikimbia
Aah!
Mbona
ukanichimbia
kaburi
Ningari
bado
mzima
Niife
nizikwe
vizuri
Nipotee
kabisa
kimya
Licha
ya
matendo
mazuri
Kwa
upendo
na
heshima
Moto
ukachochea
tanuri
Ukachoma
wangu
mtimaa
Natamani
hata
ningepata
nafasi
Muda
wakati
Kukutazama
Unione
hata
japo
sura
Unitazame
macho
yangu
Mwenzako
wimbi
limenipiga
kasi
Langu
jahazi
limezama
Mnyonge
mwana
Sanura
Wee
ndio
ulikuwa
furaha
yangu
Tatizo
hata
nkilia
wa
kunifuta
machozi
sina
Sawa
na
gari
lisio
na
gear
La
kuiforce
ipande
mlima
Ndio
maana
siishi
kulalama
Japo
jibu
moja
tuu
Linaloniumiza
Mwenzio
bado
sijaelewa
Kosa
Langu
Kosa
Langu
(Kosa
Langu)
Hujaniambia
(Hujaniambia)
Na
kuniacha
peke
yangu
(Peke
yangu)
Ukanikimbia
(Ukaenda)
Ila
mbona
Kosa
Langu
(Kosa
Langu)
Hujaniambia
(Hujaniambia
Bado)
Nami
nikabi
peke
yangu
(Peke
yangu)
Ukanikimbia
(Ukaenda
Ooh!)
Oh
moyo!
Moyo
wangu
umevunjika
una
magongo
Oh
moyo!
Kila
sehemu
nayoshika
kinyamazongo
Oh
moyo!
Hata
chozi
likifutika
linabaki
tongo
Oh
moyo!
Najitahidi
kulidhika
ila
nna
kinyongo
Oh
moyo!
Moyo
wangu
umevunjika
Unaa
jamani
Oh
moyo!
Hhhhmm
hmm
1 Far Away
2 Kidogo
3 Nana
4 Number One (Remix)
5 Marry You
6 Fire
7 Eneka
8 African Beauty
9 Sijaona
10 Baila
11 Nikuone
12 Kosa Langu
13 Iyena
14 Pamela
15 Baikoko
16 Waka
17 Hallelujah
18 Amanda
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.