Diamond Platnumz - Lala Salama текст песни

Текст песни Lala Salama - Diamond Platnumz



Lala salama
Matatizo, chuki, lawama
Ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipigie simu yangu
Ukii, ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo chuki lawama
Vumilia mpenzi wangu
Najua wivu ndo mapenzi
Ila chunga usizidi
Si ninajua kwako sijiwezi
Ila dhiki imebidi
Mi nili tamani sana mi kuwa nawe
Tuwe wote usiku na mchana
Kilichofanya mi nipagawe
Sina chochote chakuwalisha wana
Niliupokea kwa unyonge msiba wa kaka Bona
Ilee barua yako ya mwisho
Ilinitonesha vidonda
Usije ni lie kipenzi changu
Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana ya kesho niombee
Ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana
Nipigie simu simu yangu
Ukii, ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu
Ile kua uone nilidhani maghorofa
Aah akumbe mwana ukome
Hakuna cha kuokota
Mi bado nakaza moyo changu kipenzi
Ila naumia kwakua mwenyewe
Natamani ila siwezi nazitafuta nije kula nawewe
Msalimu mama nyumbani
Usiseme kama nahenya
(Nchai)
Mfiche mpe imani karibu ntakuoa chema
Usije ni lie kipenzi changu
Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe
Mambo bado magumu kwangu
Afadhali hata ya jana ya kesho niombee
Ukilala lala salama kumbatia picha yangu
Kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
Ukii, ukilala lala salama
Kumbatia picha yangu
Matatizo, chuki, lawama
Vumilia mpenzi wangu



Авторы: diamond platnumz


Diamond Platnumz - Lala Salama
Альбом Lala Salama
дата релиза
12-12-2014





Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.